Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

Ni kitu cha kustaajabisha ukiingia hivyo mtaani halafu wakuone na kibunda, hawawezi kusema wewe ni chizi bali watakuhusisha na nguvu hasi.
Basi hilo sio tatizo kwangu, una jua hii judging mode ndio Ina tusumbua watu.

mtu kavaa. Jersy maybe ya arsenal, ila Mtu ana Anza haija mpendeza, siipendi Ile jersy.
bila ya kuelewa yule ni yeye na wewe ni wewe.
 
Huyo mdada kashangaa kuona hauna vidole vya miguu
Screenshot_20250504-210351.jpg
 
Basi hilo sio tatizo kwangu, una jua hii judging mode ndio Ina tusumbua watu.

mtu kavaa. Jersy maybe ya arsenal, ila Mtu ana Anza haija mpendeza, siipendi Ile jersy.
bila ya kuelewa yule ni yeye na wewe ni wewe.
Upo sahihi mkuu. Lakini mfano uliotoa ni irrelevant na tunachokiongelea, jezi na ndala rangi mbili hata haviwiani mkuu.
 
Huja elewa tu, udogoni tuli kuwa tuna penda kuvaa viatu tofauti Kisha tuna enda kucheza mpira au kutembea.

ni Kama fashion au vibe tu, so mwingine aki mind haelewi hizo ni memories au mood tu.
 
😀😀
Bado unanirudisha kule kule mkuu, kuna vitu ukifanya mtu mzima mbele za watu lazima wakushangae, lakini kitu hicho hicho akikifanya mtoto wanaona ni sawa tu. Utasikia ni utoto tu.
 
Kwani mtu aki kushangaza una pungukiwa kipi?, na binadamu walisha acha kushangaa watu?
 
Back
Top Bottom