Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
HahahahaNywele zangu sasa hivi zimeshafika mgongoni maana sina muda wa kuzinyoa.
HahahahaNywele zangu sasa hivi zimeshafika mgongoni maana sina muda wa kuzinyoa.
Tajiri 😂Mad Max nina tsh 21m
Nataka toyota ilio durable zaidi ungenishauri nichukue ipi kati ya hizi
Crown?
Prius?
Premio?
Au kama kuna tofauti na hio nisaidie suggestion.
Braza me nashauri Prius itakaa miaka zaidi ya 5 ukiitunza, na utaendesha kwa consumption ya 20km/L mjini bila shida kila siku.Mad Max nina tsh 21m
Nataka toyota ilio durable zaidi ungenishauri nichukue ipi kati ya hizi
Crown?
Prius?
Premio?
Au kama kuna tofauti na hio nisaidie suggestion.
Dah kwahy mm nna mambo ya kingese?we Jamaa una mambo ya kingese ka Mbaga Jr na Vishu Mtata 😁😂
Kwahiyo nawewe ukaogopa.Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Hana akili huyo.Hahahaa bro alivonicheki kwa kunipandisha na kunishusha.
Awes0me....nakupinga kaka, Kuna watu hawana mzuka wa mavazi au viatu kivile.
mfano ni mimi na mdogo wangu, yeye ku spend 70k kisa sandozi ni jambo la kawaida, suruali ni 50-70 ila mimi ni za ku sort Sana.
as long as niko poa na niki vaacho, sihitaji kuwa katika style fulani ili watu wavutiwe na mimi.
we ume ona alicho andika?, si ndo pigo zenu🤣😂Dah kwahy mm nna mambo ya kingese?
Inasikitisha sana mkuu 😭
Mm hua navaa masendeu, Yale ya wamasai wanayovaawe ume ona alicho andika?, si ndo pigo zenu🤣😂
Ni hivyo mkuu.Hahahaha
Eeeh hafu alienunua nashangaa tu kanipa. Me nikawa naviona viko poa na comfy.Hata upendeze vipi watu hua wanaangalia viatu kama hamjui, yaani ukitokeza watu wanakushusha chini, kuhusu hizo yebo ziko poa tu ulikutana na mdada mluga luga btw ulinunua pale Little More!? naona wanazo kama zote 😀