Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Yeye ndio mbaya kichwa chake kama nazi mbovu, apo mbna simpo & clear mzee.....wengine tunashinda na timz, buti wiki nzima afu wkendi untaka nvae ile midude tena aaahh....sleepers tu mguu upunge upepoo
 
Wanasema ukitaka kujua ukubwa/heshima/uzito/uwrzo wa mtu angaliaviatu vyake
nakupinga kaka, Kuna watu hawana mzuka wa mavazi au viatu kivile.

mfano ni mimi na mdogo wangu, yeye ku spend 70k kisa sandozi ni jambo la kawaida, suruali ni 50-70 ila mimi ni za ku sort Sana.

as long as niko poa na niki vaacho, sihitaji kuwa katika style fulani ili watu wavutiwe na mimi.
 
Wakubwa zako huwa tunavaa hivi na pisi haichomoi wala nini😎
Screenshot_20240412-174202~2.jpg
 
Hivi sio viatu ni yeboyebo za kufunika... Cha muhimu ishi maisha yako...
 
Wewe ndio una shida bro, hapo ange mind issue zake huku ana spend ki aina mbona isinge kuwa jau.

Sometimes huwa naenda bank na slippers za rangi tofauti, watu wana kutolea mimacho ila uki withdrawal wana anza kuji chekesha,😂😁
Bado unaenda(ga) bank? Bank za wapi hizo wakati unatoa hela watu wanakuangalia then ukimaliza wanaanza kujichekesha?
 
Tafuta kitabu cha "The Art of Approaching" kabla ya kuanza kusimamisha simamisha wachuchu bila kuwa na mbinu za kivita...

Hayo "masaa sita utanikoma" hayana shida yoyote maana ni street wear hata Kanye anayavaa...
 
Back
Top Bottom