mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hadi nyie wahenga mnasoma vitabu vya "uchukuzi"?Tafuta kitabu cha "The Art of Approaching"
Nikajua nyie ndo mliunda hii tasnia.
Hadi nyie wahenga mnasoma vitabu vya "uchukuzi"?Tafuta kitabu cha "The Art of Approaching"
people opinions and reactions huwa zipo tu, ni Kama udogoni watoto wawili waki vaa nguo wana weza receive different reaction and compliments.Upo sahihi kabisa mkuu.
Kwamba akatupwe Mabwepande kisa hivyo viatu? Usishangae akala uteuzi kama ni chawa 😂Watu kama nyie ndo wakutekwa, kiatu gani hicho umevaaa?
Ukijitambua na kujijua wewe ni nani katika dunia hii hakuna kitu kitakaa kikubabaishe. Na bila kujitambua utahangaika sana hata uwe na kila kitu. Utatafuta validation kutoka kwa watu, utajilinganisha na kila mtu, utafanya mambo ya kijinga ili kui-impress watu na mengine mengi yasiyo na faida. Kumbe ukitulia na kufanya yako hata vitu vingine unavyovitafuta (wakiwemo mademu) vitakuja tu vyenyewe....Sina shaka mkuu 😂 me manzi haniendeshi na sipo kumfurahisha mtu kwenye maisha yangu. I'm the first priority
Naaam hasa hiki kinatuumiz washkja na wanaume wengi, ety jamaa na gari, nyumba ana vimba kitaa na manzi mzurii inakuwa jau...Ukijitambua na kujijua wewe ni nani katika dunia hii hakuna kitu kitakaa kikubabaishe. Na bila kujitambua utahangaika sana hata uwe na kila kitu. Utatafuta validation kutoka kwa watu, utajilinganisha na kila mtu, utafanya mambo ya kijinga ili kui-impress watu na mengine mengi yasiyo na faida. Kumbe ukitulia na kufanya yako hata vitu vingine unavyovitafuta (wakiwemo mademu) vitakuja tu vyenyewe....
watampa kitengo cha manunuzi ya magari ya serikaliKwamba akatupwe Mabwepande kisa hivyo viatu? Usishangae akala uteuzi kama ni chawa 😂
Demu kakungalia kwa kuwa umedindisha haraka haraka hivyo alidhani umepaka mukongo.Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Mimi nilipokosa hela ya kununua viatu nilianza kutembea peku peku halafu nikawa najiita secretarybird AKA Mrisho mpoto ili watu waseme namsapoti Mjomba kumbe ukweli ni kwamba sikuwa na hela ya kununua shoes.Aseeh me nipo na sandals za 15k nitatoboa kweli secretarybird
Si umeshuka ndani ya gari ukafanya mambo yako? Huyo dada nae mwendawazimu. Mbona tutashindwa sasaNimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Alizani joker 😁😁😁 pole mad MaxNimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Nasikiliza sana, zimenisaidia sana kuvuka hard timefilosofi nzuri sana Marcus Aurelia ana codes zote za wanaume
Aahhh zimenipa confidence sanaJamaa anafundisha Kila kitu
Uwe "calm and steady"