Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

Mbona fresh tu nigga! Unataka uvae Nini Sasa Kuna watu hawana hata hayo wanatembea peku
 
Mimi nilipokosa hela ya kununua viatu nilianza kutembea peku peku halafu nikawa najiita secretarybird AKA Mrisho mpoto ili watu waseme namsapoti Mjomba kumbe ukweli ni kwamba sikuwa na hela ya kununua shoes.
Nishawahi Fuga minywele three months to four huku nikidai napenda afro hata sikuwa napendeza na minywele ile, usinikumbushe
 
😆 nimecheka kweli, nilikuwa ni mimi
Mwingine alivaa jezi ya CREEFISA sijui😭
 
Mad Max nina tsh 21m

Nataka toyota ilio durable zaidi ungenishauri nichukue ipi kati ya hizi

Crown?
Prius?
Premio?

Au kama kuna tofauti na hio nisaidie suggestion.
 
Back
Top Bottom