The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Pagumu hap😵therwise wawe wameamua kumbebaHapana, huwezi. Inabidi uangalie udhaifu wa hoja za hukumu
Hayo yalikuwa ni maoni ya wazee tu, Mahakama pia ina nafasi yake ya kureason...na mahakama inaweza kukubaliana na maoni ya wazee au kuyakataa. Kama mahakama itaridhika kuwa Ushahidi wa kimazingira ulotolewa mahakamani ni myoofu (watertight) basi itamuhukumu ipasavyo na kama ikiona ushahidi huo bado unawacha shaka ya maana basi itamuachia huru.Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.
Report ya uchunguzi wa mwili wa Marehemu ilisema amekufa kwasababu ya Brain Concussion.
Well said ,bila shaka utakuwa wakili msomiMtu hawezi kufa kwa kusukumwa, kupigwa, ajali etc. Kusukumwa, kupigwa, ajali etc kunaweza kusababisha mtu kuanguka, kujigonga na kupelekea mtu kuvuja damu jwa wingi, mtikisiko wa ubongo, kuvujia damu kwenye ubongo, mshtuko wa moyo na mengineyo yanayoweza kusababisha kifo. Hivyo, daktari hawezi kuthibithisha kifo kusababishwa na kuanguka, bali kifo mtikisiko wa ubongo etc.
That said, mahakama haiwezi kutumia sababu ya kifo kuhukumu bali hutumia sababu ya kifo kama kuoanisha sababu ya kifo na kisababishi cha sababu ya tuhuma za mauaji zinazomkabili mtuhumiwa. Kisababishi cha sababu ya kifo ndio hupimwa kisheria kama ni lilitokea kwa kukusudia au kutokukusudia kuua.
Kusema report ya Kifo cha Kanumba kuonyesha alikufa kwa concusion haina maana kuwa mtuhumiwa hakuhusika kuua, na ndio maana kakutwa na kesi ya kujibu ambayo sasa inasubiri hukumu.
Kwa vile sheria ni practise, basi lolote laweza kutokea kwenye hukumu, akahukumiwa vyovyote.
Sasa mkuu tunaposema ushahidi wa kimazingira ndo tunamaanisha huko kukosekana kwa eye witnesses!nakubaliana nawe hukumu ipo kwa jaji sio wazee wa baraza,ila huo ushahidi wa kimazingira ni upi?elewa hakuna eye witness kwenye ile kesi kwa hiyo ripoti za doctor,foresinc zingetoa mwanga zaidi kuhusiana na kesi hii,sasa unaposema mazingira una maanisha nini?
Uwe mwepesi wa kuelewa na kutofautisha kati ya mauaji na mauaji ya bila kukusudia, Lulu kesi ya yake ni mauaji ya bila kukusudia ambayo inawezekana hata kuachiwa huru au kufungwaKihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.
MBONA HUJAMALIZIA NA HII MKUU?Nkanini ACHA UONGO WAKO, RUFAA HAIPATIKANI KWA 'DISCRETION' YA JUDGE.
RUFAA NI HAKI YA MTU, JUDGE ANAVYOITAMKA HAKI YA RUFAA NI KWAMBA ANAMKUMBUSHA MUATHIRIKA WA HUKUMU HAKI YAKE NA SYO KWAMBA JUDGE NDYO ANATOA HAKI.
JUDGE HANA UWEZO WA KUMZUIA MTU KUKATA RUFAA.
HAKUNA KOSA/HUKUMU ISYO NA RUFAA ISIPOKUWA TU KAMA HUKUMU ITAKUWA IMEFIKIA KIWANGO CHA MAHAKAMA YA JUU KABISA (KWA TZ NI COURT OF APPEAL)
HATA HVYO, MBADALA WA RUFAA NI 'REVIEW, LAKIN REVIEW SYO HAKI (MPAKA JUDGE ARIDHIE)
KUHUSU BRAIN CONCUSSION, HUTOKEA ENDAPO MTU AMEANGUKIA KISOGO AU KUPGWA KISOGON, NA SYO LAZMA UPGWE KWA NGUVU.
KWA HYO INAWEZEKANA KANUMBA ALIANGUKA MWENYEWE AKAFIKIA KISOGO AU ALIPGWA KISOGONI.
Attitude inaweza kuwa imemponza
Umeona eeehhyWapiiii. Lulu ataachwa huru utanambia hii ndo tz
Alikufa bila kukusidia.naomba kukumbushwa adhabu ya ditopile ilikuwaje?
[emoji3]Aisee miaka 15 ina muhusu kwaher lulu tulikupenda lakin nyampara wamekupenda zaid
Lulu hajashtakiwa mahakamani na familia bali ameshtakiwa na Jamhuri ila siyo yule Kiwelu.Wanasheria nisaidieni, kwa mfano familia ya kanumba ingeamua kusema kuwa wao wanamuachia Mungu au kwa sabbu yoyte ile hawana haja ya kuendelea na kesi na wanapeleka ombi la kuifuta kesi kama walifungua wao, na wasingeshiriki ktk kutoa ushahidi wwte ule je Jamhuri ktk mazingira kama hayo hiyo kesi proceedings zake zikoje.
Sheria haina bahati mbayaHana hatia ilikuwa bahati mbaya