Jaji ndio anaandika hukumu kabla haijasomwa siku hiyo, na kwa uzoefu wangu bado Jaji hajaanza kuiandika hiyo hukumu kwahiyo hukumu bado haijavuja hata kama una ndugu mahakamani katika wale wanaoichapisha hukumu.Two years in prison... Thank me later.
Mkuu kwanza ,hakuna uhakika kama Lulu alikuwa under 18 na ulitokea ubishani mkubwa kuhusu umri wake ikathibitika hakuwa under 18.Kuna presumption penal code sction 15 ,inataja mtoto ambaye hawezi kuadhibiwa kwa kosa la jinai ni miaka 15,mvulana wa chini ya miaka 12 naye hawezi kuwajibishwa kwa kubaka.Lulu alikuwa na umri sahihi wa kushtakiwa mahakama alikoshrltakiwa ila akapata dhamana baada ya shtaka lake kudhihirika kwamba aliua bila kukusudia kama ilivyokuwa katika kesi ya Ditopile mzuzuri.Inaonekana una upeo mzuri wa kisheria, je unaweza kunisaidia ni kwa nini kesi ya Lulu haijaendeshwa kwenye Juvenile court hasa ukizingatia alikamatwa akiwa under 18 years old?
Ila tatizo ni hii namba 13 ndio inanitia mashaka, hii siyo luck number, wazungu hawaitaki kabisa.Sawa nimekuelewa
Sheria haina hayo kama ushahidi haujitoshelezi ataachiwa kama unajitosheleza atafungwa period.Ila tatizo ni hii namba 13 ndio inanitia mashaka, hii siyo luck number, wazungu hawaitaki kabisa.
Ok, nimekuelewa ila hii Manslaughter dhamana inatolewa kwa upendeleo mpaka uwe some one special, kuna watu wengi wanaoza jela kwa Manslaughter na wanao watu wakuwawekea bond.Mkuu kwanza ,hakuna uhakika kama Lulu alikuwa under 18 na ulitokea ubishani mkubwa kuhusu umri wake ikathibitika hakuwa under 18.Kuna presumption penal code sction 15 ,inataja mtoto ambaye hawezi kuadhibiwa kwa kosa la jinai ni miaka 15,mvulana wa chini ya miaka 12 naye hawezi kuwajibishwa kwa kubaka.Lulu alikuwa na umri sahihi wa kushtakiwa mahakama alikoshrltakiwa ila akapata dhamana baada ya shtaka lake kudhihirika kwamba aliua bila kukusudia kama ilivyokuwa katika kesi ya Ditopile mzuzuri.
Hizi ni fact ambazo hazibishaniwi kama hauzijui, tusiharibu mtitiriko nitakutag siku ili ujuwe nguvu za namba.Sheria haina hayo kama ushahidi haujitoshelezi ataachiwa kama unajitosheleza atafungwa period.
Ipo wazi mkuu,ila kama huna wakili au haujui sheria au wakili wako kilaza au hana incentive hupati.Kunakuwaga na ligi kali kati ya Dpp na utetezi ,so lazima kuwe na argument za maana.Hizi ni fact ambazo hazibishaniwi kama hauzijui, tusiharibu mtitiriko nitakutag siku ili ujuwe nguvu za namba.
Hii ilikuwa traffic case mkuu, hukumu yake ni faini ukishindwa kulipa unaenda jelaWaungwana
Mmesahau ya Mtemi Chenge
Aliua wanawake wawili kama sikosei kwa kuwagonga na gari
Alitiwa hatiani kuua bila kukusudia
Alipewa adhabu ya faini Laki 7
The rest is history
Leo anaendelea kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa Bunge
Pia ndio Mwandishi wa Katiba Pendekezwa iliyopitishwa na Bunge la Katiba
Tukumbuke pia ,kila kifo huwa inafunguliwa murder case na murder case haina dhamana.So huwa baadaye wakiipima kwa hoja na ushahidi ndo huwa inarudishwa kuwa manslaughter.Haya yote yanategemea ushahidi na argument,sasa kama wakil wako ni Rweikiza ,kilaza yaweza kuwa ngumu.Ipo wazi mkuu,ila kama huna wakili au haujui sheria au wakili wako kilaza au hana incentive hupati.Kunakuwaga na ligi kali kati ya Dpp na utetezi ,so lazima kuwe na argument za maana.
Ila tatizo ni hii namba 13 ndio inanitia mashaka, hii siyo luck number, wazungu hawaitaki kabisa.
Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
Bado hajahukumiwaAtaachiwa huru wakati aliua bila kukusudia au unaota?
Huyo sasa anaenda kuwa chakula cha nyampala
Wazungu ndio wanaochukuwa maliasiri zetu huku sisi tunawabembeleza.Acha kuniangusha mkuu, kwani wazungu wao ndio nani?
Duu tarehe 13 nov ndio namba yao hiyo wale wazee asije pigwa mvua au.......13 November ni tarehe mbaya sana kiutabiri!! Ina mikosi!!! Lulu huenda akala mvua za kutosha!!!
CC: Mshana lete utabiri kulingana na tarehe 13 tena November!!! :
13/11/17 Balaa hili
Pole sana Lulu!!!![emoji88][emoji88]
Ina maana gani hii namba 13?Ila tatizo ni hii namba 13 ndio inanitia mashaka, hii siyo luck number, wazungu hawaitaki kabisa.
Ina maana gani13 November ni tarehe mbaya sana kiutabiri!! Ina mikosi!!! Lulu huenda akala mvua za kutosha!!!
CC: Mshana lete utabiri kulingana na tarehe 13 tena November!!! :
13/11/17 Balaa hili
Pole sana Lulu!!!![emoji88][emoji88]