Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Mm nina rafiki yangu alikuwa amelewa akampiga na jiwe mguuni baba mmoja jirani yao yule mzee alipelekwa hospitali akafariki dunia, kesi ikaenda mahakamani ikaonekana jamaa aliua bila kukusudia akafungwa miaka 5 jela. Now yupo uraiani.
Inawezekana kwa lulu ikawa hivyo au chini ya hapo.
 
Two years in prison... Thank me later.
Jaji ndio anaandika hukumu kabla haijasomwa siku hiyo, na kwa uzoefu wangu bado Jaji hajaanza kuiandika hiyo hukumu kwahiyo hukumu bado haijavuja hata kama una ndugu mahakamani katika wale wanaoichapisha hukumu.
 
Inaonekana una upeo mzuri wa kisheria, je unaweza kunisaidia ni kwa nini kesi ya Lulu haijaendeshwa kwenye Juvenile court hasa ukizingatia alikamatwa akiwa under 18 years old?
Mkuu kwanza ,hakuna uhakika kama Lulu alikuwa under 18 na ulitokea ubishani mkubwa kuhusu umri wake ikathibitika hakuwa under 18.Kuna presumption penal code sction 15 ,inataja mtoto ambaye hawezi kuadhibiwa kwa kosa la jinai ni miaka 15,mvulana wa chini ya miaka 12 naye hawezi kuwajibishwa kwa kubaka.Lulu alikuwa na umri sahihi wa kushtakiwa mahakama alikoshrltakiwa ila akapata dhamana baada ya shtaka lake kudhihirika kwamba aliua bila kukusudia kama ilivyokuwa katika kesi ya Ditopile mzuzuri.
 
Ok, nimekuelewa ila hii Manslaughter dhamana inatolewa kwa upendeleo mpaka uwe some one special, kuna watu wengi wanaoza jela kwa Manslaughter na wanao watu wakuwawekea bond.
 
Hizi ni fact ambazo hazibishaniwi kama hauzijui, tusiharibu mtitiriko nitakutag siku ili ujuwe nguvu za namba.
Ipo wazi mkuu,ila kama huna wakili au haujui sheria au wakili wako kilaza au hana incentive hupati.Kunakuwaga na ligi kali kati ya Dpp na utetezi ,so lazima kuwe na argument za maana.
 
Waungwana
Mmesahau ya Mtemi Chenge
Aliua wanawake wawili kama sikosei kwa kuwagonga na gari

Alitiwa hatiani kuua bila kukusudia
Alipewa adhabu ya faini Laki 7

The rest is history

Leo anaendelea kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa Bunge

Pia ndio Mwandishi wa Katiba Pendekezwa iliyopitishwa na Bunge la Katiba
Hii ilikuwa traffic case mkuu, hukumu yake ni faini ukishindwa kulipa unaenda jela
 
13 November ni tarehe mbaya sana kiutabiri!! Ina mikosi!!! Lulu huenda akala mvua za kutosha!!!
CC: Mshana lete utabiri kulingana na tarehe 13 tena November!!! :
13/11/17 Balaa hili
Pole sana Lulu!!!![emoji88][emoji88]
 
Ipo wazi mkuu,ila kama huna wakili au haujui sheria au wakili wako kilaza au hana incentive hupati.Kunakuwaga na ligi kali kati ya Dpp na utetezi ,so lazima kuwe na argument za maana.
Tukumbuke pia ,kila kifo huwa inafunguliwa murder case na murder case haina dhamana.So huwa baadaye wakiipima kwa hoja na ushahidi ndo huwa inarudishwa kuwa manslaughter.Haya yote yanategemea ushahidi na argument,sasa kama wakil wako ni Rweikiza ,kilaza yaweza kuwa ngumu.
 
Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#

Msamaha unatoka kwa wafungwa wenye makosa madogo au waliobakisha muda mchache kumaliza vifungo vyao huwezi kuingia gerezani halaf baada ya siku chache upewe msamaha.
 
Nadhani atakaa ndani hata kwa mwaka hivi ila kwa hali ilivyo ya kujuana na ustaa kuna dalili za kifungo cha nje
 
13 November ni tarehe mbaya sana kiutabiri!! Ina mikosi!!! Lulu huenda akala mvua za kutosha!!!
CC: Mshana lete utabiri kulingana na tarehe 13 tena November!!! :
13/11/17 Balaa hili
Pole sana Lulu!!!![emoji88][emoji88]
Duu tarehe 13 nov ndio namba yao hiyo wale wazee asije pigwa mvua au.......
 
Ila tatizo ni hii namba 13 ndio inanitia mashaka, hii siyo luck number, wazungu hawaitaki kabisa.
Ina maana gani hii namba 13?
Je mahakama inajua maana ya hizi namba ndio maana wanapanga hivyo
Ni namba tasa sio
 
13 November ni tarehe mbaya sana kiutabiri!! Ina mikosi!!! Lulu huenda akala mvua za kutosha!!!
CC: Mshana lete utabiri kulingana na tarehe 13 tena November!!! :
13/11/17 Balaa hili
Pole sana Lulu!!!![emoji88][emoji88]
Ina maana gani
 
talentboy yeah, yote inawezekana kwamba lulu alimsukuma kanumba akaanguka, akafikia kisogo na kusababisha brain concussion!

Mwsho kuna jamaa yangu aliua bila kukusudia ila akapewa adhabu ya kifungo cha nje kufanya kazi za kijamii kwa muda wa miaka 2

>kama walivyosema wadau, hukumu ya kuua bila kukusudia hutegemea maono ya jaji kutokana na mazingira ya tukio.
 
Back
Top Bottom