Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Nkanini RUFAA (APPEAL) NI HAKI, NA HAKI HAITOLEWI NA MTU, IPO KISHERIA. HVYO KAMA LULU ATAFUNGWA ANAYO HAKI YA KUKATA RUFAA HATA KAMA JAJI HATOSEMA.

RUFAA NI HAKI YAKO POPOTE PALE.

ILA 'JUDICIAL REVIEW' SIYO HAKI.
Mkuu pamoja na haki hiyo,elewa jaji ana uwezo wa kutoa hukumu na akatoa sababu kuwa hakuna mahakama nyingine ambayo inaweza kufikia uamuzi tofauti kwa hiyo haki inakuwa haipo na elewa ni jaji aliyetoa hukumu ndiye anayetoa ridhaa ya rufaa.
 
Du leo nimekulike, kwa kweli tangu nimeanza kusoma post zako ambazo huwa zinakera, leo umemwaga point sio upupu unaoandikaga.
Nadhan bado kaongea upupu ila wewe hujaugunđua tu,hamna kifungo cha nje ktk kosa LA kuua Bila kukusudia
 
Du leo nimekulike, kwa kweli tangu nimeanza kusoma post zako ambazo huwa zinakera, leo umemwaga point sio upupu unaoandikaga.
Nadhan bado kaongea upupu ila wewe hujaugunđua tu,hamna kifungo cha nje ktk kosa LA kuua Bila kukusudia
 
Ila yeye alibisha alisema yeye ndiyo aliponea Tundu la sindano kurestishwa in pisi ikabidi akajiliwaze la upepo koko bichi
 
Maskini Lulu....duh, Mungu anaweza kutenda miujiza
 
Watampiga miaka kadhaa!
Rufaa ndio itamchoropoa gerezani.
Mpaka wanamcholopoa atakuwa ameshajipatia shida za kutosha
Nani Kakwambia Atakaa Jela Huyo Bint Huyo Hata Mlango Wa Jela Hatoujua,, Nadhani Umenielewa
 
Kuua ndiyo huko huko kusababisha kifo hatuwezi kusema umeua kama haujasababisha kifo
 
mkuu hebu elewa basi..kwa mfano mimi na wewe tukawa tunagombana kwa kurushiana maneno..sijakugusa..lakini nikakusababishia mshituko ukadondoka ukafa...hapo kosa ninalo..la kuua bila kukusudia..its that simple..Lulu na mdogo wa kanumba wamesema wote kwamba kulikuwa na ugomvi kati ya lulu na kanumba...mbona ni simple kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…