Kuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.Niliwahi kuwaza hii bizness,watapata hela
California love
Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia...... Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.
View attachment 1525767View attachment 1525768
Sawa. Ukiangalia na usawa wa hali ya muwazaji( kiuchumi, kijamii, na kisiasa). Wakati wazo limemjiaKuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.
Unapodharau kuna wenzako watalifanyia kazi na utapoliona utabakia kusema ayaaaaaaah hiki kitu nilikuwa nataka kukifanya kipindi fulani sema nikawa naona kama hakiwezekani.
So the best way kuishi ni kufanyia kazi jambo lolote linalokujia kichwani mwako.
Mzee waswahili wanasema usilolijua ni usiku wa kiza. Na akili inayowaza matatizo ni ngumu sana kuwazia suluhu na ubunifu.Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.
Kwa model hii watapoteza wateja 90%
Bado ujaelewa concern yangu Target market yao ni waote uliowataja aijasema hawapati pesa, nimesema moja ya target market yao watu wanaozunguka town mfano abiria sasa hawa haana vyombo kqa hili huoni wamepoteza hawa watu kuwauzia.Mzee waswahili wanasema usilolijua ni usiku wa kiza. Na akili inayowaza matatizo ni ngumu sana kuwazia suluhu na ubunifu.
Sasa kimsingi hawa jama wanapata wateja balaa. Madereva wa daladala, makonda na wapiga debe wao, mama ntilie na wateja wao, wapita njia na abiria kwa ujumla..... Kwa kifupi soko lipo balaa na wanasapoti na halimashauri sababu wanapunguza sana taka zinazozalishwa na yale makopo ya maji especially zile lebo za branding kwenye chupa.....
Nimeona kuna abiria kaenda pale ameomba chupa kapewa na maji kanunua......Bado ujaelewa concern yangu Target market yao ni waote uliowataja aijasema hawapati pesa, nimesema moja ya target market yao watu wanaozunguka town mfano abiria sasa hawa haana vyombo kqa hili huoni wamepoteza hawa watu kuwauzia.
Watapoteza wateja wepi? Au umeambiwa hiyo kampuni ni ya masafi, uhai au Kilimanjaro?Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.
Kwa model hii watapoteza wateja 90%
🤣 🤣 🤣 👆 lakini tunaongelea biashara ya maji mkuu.Uyo mwenye blauzi nyeupe anakijungu fulani iv amaizing !!!
Wanazo chupa wanauza pia.. Unaweza kwenda na chupa yako Au ukanunua pale pale.Bado ujaelewa concern yangu Target market yao ni waote uliowataja aijasema hawapati pesa, nimesema moja ya target market yao watu wanaozunguka town mfano abiria sasa hawa haana vyombo kqa hili huoni wamepoteza hawa watu kuwauzia.
Asante sana mkuu,ila changamoto ni mtaji tu,Kuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.
Unapodharau kuna wenzako wanafikiria at the same frequency level kama ya kwako, wanapokuwa wanasearch for ideas watakuta yako haujaifanyia kazi ipo pending na ndipo hapo sasa wao watalifanyia kazi na utapoliona utabakia kusema ayaaaaaaah hiki kitu nilikuwa nataka kukifanya kipindi fulani sema nikawa naona kama hakiwezekani.
So the best way kuishi ni kufanyia kazi jambo lolote linalokujia kichwani mwako.
Mtu anawezaje kupoteza kitu ambacho hana? Wao ndio wameingia sokoni wanajitafutia wateja watakaopenda kununua pamoja na chupa wataendelea, akina sie tutaendelea na yetu ya kupimaNimeona kuna abiria kaenda pale ameomba chupa kapewa na maji kanunua......
Unajua kwasababu gani unaona mtaji ni changamoto, sababu kichwani mwako tayari umenasa na picha ya taasisi au biashara iliyokamilika. Unaona ofisi ya kisasa, wafanyakazi 50 unawalipa zaidi ya milioni kadhaa kwa mwezi. Ndio maana picha ni ya gharama sana kwako.Asante sana mkuu,ila changamoto ni mtaji tu,
California love