Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia.
Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.
Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.