Wazee wa fursa naona wameona waje kivingine

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia.

Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.

IMG_20200803_112948.jpeg
IMG_20200803_112948.jpeg
 
Niliwahi kuwaza hii bizness,watapata hela

California love
Kuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.

Unapodharau kuna wenzako wanafikiria at the same frequency level kama ya kwako, wanapokuwa wanasearch for ideas watakuta yako haujaifanyia kazi ipo pending na ndipo hapo sasa wao watalifanyia kazi na utapoliona utabakia kusema ayaaaaaaah hiki kitu nilikuwa nataka kukifanya kipindi fulani sema nikawa naona kama hakiwezekani.

So the best way kuishi ni kufanyia kazi jambo lolote linalokujia kichwani mwako.
 
Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia...... Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.

View attachment 1525767View attachment 1525768
Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.

Kwa model hii watapoteza wateja 90%
 
Kuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.

Unapodharau kuna wenzako watalifanyia kazi na utapoliona utabakia kusema ayaaaaaaah hiki kitu nilikuwa nataka kukifanya kipindi fulani sema nikawa naona kama hakiwezekani.

So the best way kuishi ni kufanyia kazi jambo lolote linalokujia kichwani mwako.
Sawa. Ukiangalia na usawa wa hali ya muwazaji( kiuchumi, kijamii, na kisiasa). Wakati wazo limemjia
 
Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.

Kwa model hii watapoteza wateja 90%
Mzee waswahili wanasema usilolijua ni usiku wa kiza. Na akili inayowaza matatizo ni ngumu sana kuwazia suluhu na ubunifu.

Sasa kimsingi hawa jama wanapata wateja balaa. Madereva wa daladala, makonda na wapiga debe wao, mama ntilie na wateja wao, wapita njia na abiria kwa ujumla..... Kwa kifupi soko lipo balaa na wanasapoti na halimashauri sababu wanapunguza sana taka zinazozalishwa na yale makopo ya maji especially zile lebo za branding kwenye chupa.....
 
Bado ujaelewa concern yangu Target market yao ni waote uliowataja aijasema hawapati pesa, nimesema moja ya target market yao watu wanaozunguka town mfano abiria sasa hawa haana vyombo kqa hili huoni wamepoteza hawa watu kuwauzia.
 
Nimeona kuna abiria kaenda pale ameomba chupa kapewa na maji kanunua......
 
Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.

Kwa model hii watapoteza wateja 90%
Watapoteza wateja wepi? Au umeambiwa hiyo kampuni ni ya masafi, uhai au Kilimanjaro?
 
Bado ujaelewa concern yangu Target market yao ni waote uliowataja aijasema hawapati pesa, nimesema moja ya target market yao watu wanaozunguka town mfano abiria sasa hawa haana vyombo kqa hili huoni wamepoteza hawa watu kuwauzia.
Wanazo chupa wanauza pia.. Unaweza kwenda na chupa yako Au ukanunua pale pale.
 
Kuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.

Unapodharau kuna wenzako wanafikiria at the same frequency level kama ya kwako, wanapokuwa wanasearch for ideas watakuta yako haujaifanyia kazi ipo pending na ndipo hapo sasa wao watalifanyia kazi na utapoliona utabakia kusema ayaaaaaaah hiki kitu nilikuwa nataka kukifanya kipindi fulani sema nikawa naona kama hakiwezekani.

So the best way kuishi ni kufanyia kazi jambo lolote linalokujia kichwani mwako.
Asante sana mkuu,ila changamoto ni mtaji tu,

California love
 
Nimeona kuna abiria kaenda pale ameomba chupa kapewa na maji kanunua......
Mtu anawezaje kupoteza kitu ambacho hana? Wao ndio wameingia sokoni wanajitafutia wateja watakaopenda kununua pamoja na chupa wataendelea, akina sie tutaendelea na yetu ya kupima
 
Asante sana mkuu,ila changamoto ni mtaji tu,

California love
Unajua kwasababu gani unaona mtaji ni changamoto, sababu kichwani mwako tayari umenasa na picha ya taasisi au biashara iliyokamilika. Unaona ofisi ya kisasa, wafanyakazi 50 unawalipa zaidi ya milioni kadhaa kwa mwezi. Ndio maana picha ni ya gharama sana kwako.

But fikiria kwa sura hii, ni vipi kama hicho unachotakiwa kukifanya unatakiwa ukianze hata kesho utaanzaje kwa namna yoyote.....ndio hauna mtaji so what, unaanzaje hiyo kesho... Yaani umeamka asubuhi paaap unatakiwa kuanza hicho unachotamani kufanya....

Kwa mfano, jamaa huyu anaoparate kwa mashine hiyo... But hii biashara ipo tokea hata haya maji ya chupa hayajaanza kuonekana sokoni enzi za mwaibula sijui makamba.

Jamaa wanauza maji kwenye ndoo shillingi 50. Au uongo?!

So ukisema mtaji me nitasema hauna mbinu za kuanza mtaji ni sababu ila sio kikwazo katika kuanza....
 
Back
Top Bottom