DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sifa hizi tofauti sana na waalimu wale shemeji zangu.
Hilo kundi nimesoma nalo hawana hizo sifa
Isipokuwa ni watu ambao hawana exposure na wengi hupewa mimba Sana chuoni I guess huyo jamaa anapita nao , kaona awasifie tu.