DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sifa hizi tofauti sana na waalimu wale shemeji zangu.
Masta huyo ndoa yake imevunjika anapiga msasa wa hatari.Mjomba katisha 😆
.
Kwanza ulizia ni raia wa nchi gani.Kwanza tujue huyu mwandishi wa kitabu hiki aliliolewa na kuzaa watoto au alizaa watoto na masela akaachiwa alee mwenyewe? Tujue pia anaamini na kuabudu dini gani isiyotambua umuhimu wa ndoa? Au kwao wanawake hutunza waume zao? Na je anasemaje kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume hufanyikaje?
Kwa msingi huu huwezi kuepuka kuwa manipulated.Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote.
Yeyote anaye jaribu kuelezea jinsi mwanaume anavyo tumiwa Kama mtumwa na mwanamke anapata upinzani mkubwa.
Anaelezea zaidi chombo chochote Cha habari au gazeti likijaribu kuweka makala kuelezea mateso hayo ya wanaume linapata upinzani na kukosa fursa ya kutangaza au kufanya biashara sababu wanawake ndiyo sehemu kubwa ya masoko ya biashara mbalimbali.
Sijui Kama ipo sahihi kisheria naambatanisha kitabu husika.
Mods mnaweza kufuta Kama Kuna mgogoro wa hati miliki (copy right)
Intelligent businessman waite waiteLiverpool VPN Half american mnisaidie kuwaita wadau
Hao ndo waasisi sasa.Liverpool VPN Half american mnisaidie kuwaita wadau
Kama wewe umesikitika ndugu yangu Poor Brain atakuwa na hali gani?Sijakisoma hicho kitabu ila nimesikitika sana hasa hapo kwenye ukurasa wa 12, aisee nimelia sana 😭
Kazungumzia sex ,kuwa mwanaume ili afanye ngono hutegemea saikolojia yake , Ila ikitokea mwanmke akamwambia kuwa sijafika -orgasm basi huyo mwanume atakuwa stressful Sana na kuwaza Sana.
Ila kasema swala la mwanamke kufika orgasm au kieleleni huwa n yeye mwenyewe mwanamke anaweza kufika tu alitegemei performance ya mwanaume . the same mwanaume kufika kileleni hakutegemei performance ya mwanamke
Ila linapokuja swala la kufika kieleleni lawama hutupiwa wanaume kitu ambacho sio kweli
Ndo unakuta MTU anahangaika kupaka mkongo
Mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa, yaani nasambaza Sera zetu😂😀Intelligent businessman waite waite
Hongera sanaMimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa, yaani nasambaza Sera zetu😂😀
Hongera ya nini 🤔Hongera sana