Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Eebwa heri za sikukuu wazee.
Hawa watu huwa wanakera sanaa. Unakuta jitu ni linywaji lenzio ila likikukuta tu umetoa teni unachukua safari zako tatu linataka chenji iliyobaki umuagizie na yeye. Unaweza ukamkuta yeye bar na kashalewa ila akikuona tu unaagiza konyagi ile ya kati uipige tayari utaskia aaaah brooo na mimi nichukue glass basi tuendelee huwa wananikera kinoma hao watu, na kwa mazingira niliyopoi ndiyo wapo kibaoo.
Kuna raia wa mtaani wakawaida na pia wakiongozwa na maaskari polisi na maaskari magereza aisee hao watu kama ni wanywaji na wewe ni mywaji na mnakutanaga viwanya na washakuchora kwamba kabla hujanywa mtungi lazima upige hata kitimoto nusu na robo aisee ile inawauma vibayaa wanajua unazo kumbe unajipenda tu. Sasa utaombwa bia wewe mpaka akili ikukae sawa.
Wewe hata hela ya safari tatu tu huna sasa unaenda bar kufanya nini mzee? Hao watu mimi huwa nachenji zile kumi kumi kabisa, yani zinakua buku mbili mbili kibaoo kisha nazitawanya mpaka kwenye sox, sasa hapo mzee ni mwendo kutoa tu hizo buku mbilimbili tuu mwanzo mwisho..... wakiomba tu nawaambia oya ndo ka buku mbili hakahaka mzee... mara nachomoa kengine mpaka nalewa kwa fomula hiyo.
Wakiona tu kitu cha teni chekundu mzee baba umeumia. Wanatakaga wakiona umetoa teni umechukua bia tatu chenji yako ni elf nne hawatakagi ibaki ile chenji, lazima akwambie 'mwanangu na mimi nichukue au vipi?' na ukimwambia unabajeti hadi ya kesho anakulaumu balaa hapo yeye hajawahi kukununulia hata maji ya buku.
HAO SIO WAKUWAENDEKEZA HATA KIDOGO, ''MTUNGI HOYEEEE''
Kwa wakazi wa MBEYA muda huu nipo ndani ya "NASOM PUB" imeboreshwa saizi kuna VIP, VVIP, VVVIP na VVVVIP yaani imekuwa ya motooo ni mwendo wa lager tu, hatutumii vikali leo.