Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na Spika hakukaripia kauli hiyo kitu kinachoashiria kwamba wito wa zitto kuuawa na kauli rasmi ya bunge.
Fuatilia hapa;
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na Spika hakukaripia kauli hiyo kitu kinachoashiria kwamba wito wa zitto kuuawa na kauli rasmi ya bunge.
Fuatilia hapa;