Wazee wa Kigoma wasimama na Zitto na kutoa tamko dhidi ta Spika na Bunge

Wewe unategemea Wazee wa Kigoma utawakuta wapi?!
Hao ndio Watanzania wa mwanzo kuikataa CCM wana msimamo sio wa mchezo
Bila hao wazee Zitto angesharogwa na CCM miaka mingi iliyopita
Hao ni njaa tu
 
Huyo dogo anawachukulia poa wazee wa kigoma alafu utakuta yeye mzee wake anashinda kwenye kijiwe cha alkasusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni njaa kali unaona ameandikiwa hata kusoma shida wakawatishe vibaraka na wasaliti. Musiba walimtisha hivi hivi
Gusa unate babake..

ARUSHA KWETU
 
Mkuu muulize Aliyekuwa mbunge wa Mchinga na mmiliki wa Mchinga Sound Mudhir Mudhir kitu gani kilimkuta...NDUGAI na DR SHIKA MOLLEL waache watakipata wanachotafuta.
marehemu mama yake zitto alikuwa hai ndie alikuwa na mikoba sasa hivi zitto hamna kitu
 
Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na Spika hakukaripia kauli hiyo kitu kinachoashiria kwamba wito wa zitto kuuawa na kauli rasmi ya bunge.

Fuatilia hapa;
View attachment 1344411
Mungu wabariki wazee
 
Hawa wazee nawajua ni watu hatari mno tena Sana Kwenye ANGA ZA KUZIMU PIA HAWA WOTE WANARUKA USIKU KAMA DRONES...
ni Bora Mzee bulembo aombe msamaha Kwa Ile kauli yake kabla mshipa haujamshuka Hadi magotini
 
Angalia Ndugai usipigwe juju na hao wazee wa ujiji. Wote hao ni waganga wa kienyeji.wana mipete mikubwa vidoleni
 
Hawa wazee nawajua ni watu hatari mno tena Sana Kwenye ANGA ZA KUZIMU PIA HAWA WOTE WANARUKA USIKU KAMA DRONES...
ni Bora Mzee bulembo aombe msamaha Kwa Ile kauli yake kabla mshipa haujamshuka Hadi magotini
Kama drones [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ARUSHA KWETU
 
Alafu cha kushangaza utasikia Zito kashindwa ubunge KIGOMA pamoja na kukubariwa kote huko

Back
Top Bottom