Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Kwani huyo Alhaj Bulembo ni dini gani maana dini nyingine kuuwa kwao ni swala la kawaida kabisa!Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na Spika hakukaripia kauli hiyo kitu kinachoashiria kwamba wito wa zitto kuuawa na kauli rasmi ya bunge.
Fuatilia hapa;
View attachment 1344411
Msinasibishe dini na kauli za Alhaj Bulembo kwani unaweza kuwa Alhaj lakini mwisho wako ukawa kafiri kama ilivyokuwa kwa Iblis Laanatullah! Ndio maana tunatakiwa tuombe/tuombeane mwisho mwema (khusnil hatim)Kwani huyo Alhaj Bulembo ni dini gani maana dini nyingine kuuwa kwao ni swala la kawaida kabisa!
Mkuu muulize Aliyekuwa mbunge wa Mchinga na mmiliki wa Mchinga Sound Mudhir Mudhir kitu gani kilimkuta...NDUGAI na DR SHIKA MOLLEL waache watakipata wanachotafuta.Hata panya hawatapona...ha ha ha nakumbuka huu mkwara wa Zitto kwa kina Mbowe,Shonza na Saanane
Mbona unaongelea ya zamani...Mbona Musiba kamnyoosha?Mkuu muulize Aliyekuwa mbunge wa Mchinga na mmiliki wa Mchinga Sound Mudhir Mudhir kitu gani kilimkuta...NDUGAI na DR SHIKA MOLLEL waache watakipata wanachotafuta.
Musiba anaendelea kuisoma namba mkuu au haujui Musiba vitu gani vinamtokea? Ni rasharasha bado mvua kamili haijanyesha utakuja kujua mbele.Mbona unaongelea ya zamani...Mbona Musiba kamnyoosha?
Bashite the killer ni dini gani labda kwa mfano?Kwani huyo Alhaj Bulembo ni dini gani maana dini nyingine kuuwa kwao ni swala la kawaida kabisa!
Kwahio wewe una amani sana akiuawawaKwani huyo Alhaj Bulembo ni dini gani maana dini nyingine kuuwa kwao ni swala la kawaida kabisa!
Hao ni wazee wa kijiwe cha kahawaHawa Wazee ni wazalendo kwelikweli sio wale wa CCM matumbo wanayaweka mbele ya masilahi ya taifa.
Mkuu ,unamhubiria mfuasi wa shetani anayefurahia wengine kuuawawaMsinabishishe dini na kauli za Alhaj Bulembo kwani unaweza kuwa Alhaj lakini mwisho wako ukawa kafiri kama ilivyokuwa kwa Iblis Laanatullah! Ndio maana tunatakiwa tuombe/tuombeane mwisho mwema (khusnil hatim)
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Musiba yuko wapi siku hizi, kapewa ukatibu mkuu nini wa wizaraHao ni njaa kali unaona ameandikiwa hata kusoma shida wakawatishe vibaraka na wasaliti. Musiba walimtisha hivi hivi
Nchi gani nyingine inatoa msaada tz niwaandikie barua kuwa misaada yao inatumika kununua magari ya maji washa na helcopter za kusulubu watz !Tusubiri kauli ya kiti cha spika juu ya aliyesababisha Sweeden itunyime fursa.
Wewe unategemea Wazee wa Kigoma utawakuta wapi?!Hao ni wazee wa kijiwe cha kahawa