MFUKO WA RAMBO
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 201
- 114
Hao ni njaa tuWewe unategemea Wazee wa Kigoma utawakuta wapi?!
Hao ndio Watanzania wa mwanzo kuikataa CCM wana msimamo sio wa mchezo
Bila hao wazee Zitto angesharogwa na CCM miaka mingi iliyopita
Yuko you tube anaongeaongea tu bila point na kuwaombea watu wauwawe na Dola
Kijana hiyo dharau yako nenda ukaitoe Kigoma ili uzawadiwe BushaHao ni njaa tu
Basi wazee wa kwenye kijiwe cha kahawa wanajua kufanya reasoning kuliko Ndungai aliyewaacha wabunge waendelee kupanga mauaji ya Zitto kwenye michango yao bungeni.Hao ni wazee wa kijiwe cha kahawa
Msiba maisha yake yamekuwa ya misukosuko mno anaishi kama digidigi
Huyo dogo anawachukulia poa wazee wa kigoma alafu utakuta yeye mzee wake anashinda kwenye kijiwe cha alkasusu.Wewe unategemea Wazee wa Kigoma utawakuta wapi?!
Hao ndio Watanzania wa mwanzo kuikataa CCM wana msimamo sio wa mchezo
Bila hao wazee Zitto angesharogwa na CCM miaka mingi iliyopita
Gusa unate babake..Hao ni njaa kali unaona ameandikiwa hata kusoma shida wakawatishe vibaraka na wasaliti. Musiba walimtisha hivi hivi
Msiba maisha yake yamekuwa ya misukosuko mno anaishi kama digidigi
Sent using Jamii Forums mobile app
marehemu mama yake zitto alikuwa hai ndie alikuwa na mikoba sasa hivi zitto hamna kituMkuu muulize Aliyekuwa mbunge wa Mchinga na mmiliki wa Mchinga Sound Mudhir Mudhir kitu gani kilimkuta...NDUGAI na DR SHIKA MOLLEL waache watakipata wanachotafuta.
Mungu wabariki wazeeBaadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na Spika hakukaripia kauli hiyo kitu kinachoashiria kwamba wito wa zitto kuuawa na kauli rasmi ya bunge.
Fuatilia hapa;
View attachment 1344411
Gusa unate babake..
ARUSHA KWETU
Umeonaee..aende kule kule aongelee kule ndo tujue kweli Ni wazee njaa!!Kijana hiyo dharau yako nenda ukaitoe Kigoma ili uzawadiwe Busha
Nchi gani ngingine inatoa msaada tz niwaandikie barua kuwa misaada yao inatumika kununua magari ya maji washa na helcopter za kusulubu watz !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama drones [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wazee nawajua ni watu hatari mno tena Sana Kwenye ANGA ZA KUZIMU PIA HAWA WOTE WANARUKA USIKU KAMA DRONES...
ni Bora Mzee bulembo aombe msamaha Kwa Ile kauli yake kabla mshipa haujamshuka Hadi magotini
Kwani huyo Alhaj Bulembo ni dini gani maana dini nyingine kuuwa kwao ni swala la kawaida kabisa!
Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na Spika hakukaripia kauli hiyo kitu kinachoashiria kwamba wito wa zitto kuuawa na kauli rasmi ya bunge.
Fuatilia hapa;
View attachment 1344411