Wazee wa Kigoma wasimama na Zitto na kutoa tamko dhidi ta Spika na Bunge

Unaona ulivyo na akili fupi
Kila jambo unahusisha na dini na hivi leo jumapili mmeishadungwa sumu ya chuki dhidi ya uislam
Acheni roho mbaya
Huna aibu kwa unayoandika

Sent from my iPhone using Tapatalk
Waarabu kutamka kuuwa ni jambo la kawaida kabisa bwashee.

Mimi sijamshangaa kabisa alhaj Bulembo.........Ningeshangaa kama maneno hayo yangetamkwa na mchungaji Msigwa au Baba Paroko Selasini!
 
Kauli ya kipuuzi kabisa kutolewa ndani ya bunge, hawa wabunge wa CCM wote wanastahili kwenda The Hague, wamejaa unafiki, kujipendekeza, wanabadilika uelekeo upesi kama upepo, sio wakuwaamini siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumepewa sheria mpya: mkosoaji wa serikali ni msalati. Kulingana na hii sheria mpya msaliti hana haki ya kuishi. Mbunge aliyetaka mwenzake auawe hajakosea kulingana na sheria hii mpya. Vijana wetu wa chama nao wamepata hamasa ya kuwashughulikia wasaliti! Wazee wa nchi hii sijui wamekwenda wapi! Huu siyo wakati wa kushauri faraghani.
 
Waarabu kutamka kuuwa ni jambo la kawaida kabisa bwashee.

Mimi sijamshangaa kabisa alhaj Bulembo.........Ningeshangaa kama maneno hayo yangetamkwa na mchungaji Msigwa au Baba Paroko Selasini!

Acha chuki endelea na siasa uchwara tu
Kama kuna ndugu yako kauwawa na muislam sawa ila kama ni propaganda za nje na mnavyofundishwa makanisani sawa
Ila mna chuki za kijinga sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Acha chuki endelea na siasa uchwara tu
Kama kuna ndugu yako kauwawa na muislam sawa ila kama ni propaganda za nje na mnavyofundishwa makanisani sawa
Ila mna chuki za kijinga sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
Bwashee mbona povu jingi?

Zitto kaoa mtoto wa alhaj Bulembo inamaana alhaj Bulembo anapendekeza mkwewe auwawe.......sasa wewe na Bulembo nani ana uchungu na Zitto?!

Siasa ni sayansi meku!
 
Hao ni njaa tu

Tangu mwaka 1995 Kigoma huchagua upinzani. Hawa wazee wangekuwa wanasumbiliwa na njaa wasingekuwa na Zitto mwenye njaa kama wao. Kila mtu nchi hii anajua shibe ya kutosha hupatikana ccm!
 
Ajsante sana wazee wa kigoma kwa kuona mbali katika Hilo, hakika kauli ya bulembo Kama mbunge kutoa maneno Kama hayo Tena bungeni mbele ya spika wa bunge na spika kukaa kimya bila kuingilia Kati Ni dhahiri shahiri ya kwamba bunge linabariki kitendo hicho
 
Kwa kweli Zitto anastahili support hasa ya watu wake. Maneno ya Bulebo na ushangiliaji wa Wabunge wa CCM pamoja na mchungaji ni dalili mbaya. Tena ukichukulia kuwa mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote amezungumzia hili au kulaani hayo maneno mabaya ya Bulebo. Hii ni hatari.....!!
 
Kumbe ndio hawa waliochukua buku 5 kwa mujibu wa mdau mmoja ili wapigwe picha na AYO TV?
Bila Shaka unaweza kukuta wametia mimba vigoli wetu.
Walichosema Wazee kinaeleweka na ni sahihi. Huwezi kuitisha mauaji ya mtu amabaye ametoa hoja ya maneno. Hoja aipigwi rungu au mtoa hoja kuuwawa. Hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Mi nimekuelewa sana. Bulembo ni Muislamu jina tu kama ambavyo kuna wakiristo wanaitwa Emmanuel wakati hata kanisa hawalijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli ya kipuuzi kabisa kutolewa ndani ya bunge, hawa wabunge wa CCM wote wanastahili kwenda The Hague, wamejaa unafiki, kujipendekeza, wanabadilika uelekeo upesi kama upepo, sio wakuwaamini siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnafiki mkuu ni Job Ndugai

Unawezaje kama spika kutokumkaripia bulembo?

Yaani Ndugai anabariki kuuwawa Mbunge?

Huyu spika hana akili, wale wazee wanamzidi 10 times
 
SAFI SANA WAZEE CHUKUENI SODA WAJUKUU WA JUMA NJEMBA TALIPA WAPIGENI TIKITIKI LA BUKU KUMI HAWA WAKUJA HADI WAPOTEANE.AWAIJUI UJIJI HAWA.GAMBOSHI VS UJIJI HII MECHI KALI
 
Waarabu kutamka kuuwa ni jambo la kawaida kabisa bwashee.

Mimi sijamshangaa kabisa alhaj Bulembo.........Ningeshangaa kama maneno hayo yangetamkwa na mchungaji Msigwa au Baba Paroko Selasini!
Vp kuhusu yule mchungaji wako wa kisuli suli (Rwakatare) aliyekuwa akishangilia na kugonga madawati baada ya kutoka hiyo kauli?!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Vp kuhusu yule mchungaji wako wa kisuli suli (Rwakatare) aliyekuwa akishangilia na kugonga madawati baada ya kutoka hiyo kauli?!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Rwakatare alikuwa anamshangaa Alhaj Bulembo kutaka mkwewe ( Zitto) auwawe!

Hizi ni siku za mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…