Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

Wewe unakubali kuna kikao maalum kilikaa na kuazimia kupendelea watoto wa viongozi?

Au upendeleo huu umejitokeza kiutamaduni tu bila ya kikao rasmi?
 
👍👏 🆒
 
Wewe unakubali kuna kikao maalum kilikaa na kuazimia kupendelea watoto wa viongozi?

Au upendeleo huu umejitokeza kiutamaduni tu bila ya kikao rasmi?
Kuwa maalumu siamini.ila najua lipo cartel la kiutawala kwa bongo ndo linajengwa kwa speed sana hasa kipindi cha mama nadhani walionja uchungu wakumleta mtu wa from no where magu

Kama kenya yaan hutoboi kama
haupo kwa cartel za siasa au biashara
 
Kipi hivi sasa ni Kippi ni mkuu wa Wilaya ya Moshi
 
Yawezekana yeye ni mmojawapo na hiyo dhuruma haipendi ndio maana kaamua kusema au kuna afsa kipenyo kampa hizo taarifa au Kippi warioba ndiye kampa hizo za ndani.
 
"Kumbuka pia huu mkataba ulifutwa na Magufuri wakati wa utawala wake na hakutaka kusikia huo ujinga kamwe." Lala salama Magufuli
Na walishajiwekea utaratibu wa nafasi za benki kuu, TRA,maafsa kwenye balozi nchi za nje hauwezi kuona huko mtu wa kawaida lazma awe mtoto wa flan bin flan, JPM alipoingia akarudisha wote nchini akapeleka wengine watoto wa maskini ambao hawakuwazia kama ipo siku watafanya kazi kwenye ubalozi nchi za nje.
 
Huo Mkataba ni Wa hovyo sana kwa Tanzania
 
J
Jpm kwenye hili hana alichofanya badala ya kuendeleza tu.

Waliopo sasahivi ni crew yake yoote aliyokuwa nayo by 90%
 
Bwana Kiranga. Mimi mwenyewe sitaki kuamini hivyo.

Lakini kwa jinsi mambi yalivyo na yanavyokwenda kuhusiana na uongozi na nyazifa ndani ya Nchi hii ni rahisi kuamini kuwa huenda kuna Mkataba/ a treaty ambayo inafatwa hata kama haina jina la Mwitongo.
 
Tatizo ukianza habari za kuamini unaweza kuamini chochote.

Nimemuomba mtoa mada athibitishe na kutuambia kapata vipi hizi habari, hajajibu.
 
Tatizo ukianza habari za kuamini unaweza kuamini chochote.

Nimemuomba mtoa mada athibitishe na kutuambia kapata vipi hizi habari, hajajibu.
Ofcourse trends zinaonekana kuna kitu sio bure😆😆.

Mimi naamini haupo Huo Mkataba ila.....
 
Ndani ya CCM uongozi ni koneksheni na sio kudra au bahati, Kuna watu lazima wawe viongoz, au wateuliwe ndani ya serikali sisi Wana CCM wa jamii forum na kwingineko tutapata teuzi baada ya jitihada zetu za kujipendekeza kuonekanai Kwa kusifia Sana au Kwa kuwaponda wapinzani.
 
Watoto wa Nyerere, Warioba, Msuya, Dr Salim, Lowassa, Sumaye, Sokoine, Malecela na watoto wa Magufuli mwenyewe huu mkataba unawahusu au ni kakikundi furani pekee?
Kakikundi
Kwa nini ilikuwa chama kife ikiwa raisi asingekuwa Magufuli?
Inasemekana Kikwete alikuwa ana jina la mtu wake aliyetaka apitishwe kuwa mgombea URAIS lakini wajumbe wa mkutano mkuu walikuwa wanamtaka Lowassa !
Umeusahau wimbo “ Tuna imani na Lowassa “
Kwa ufupi iko hivyo ikabidi Mkapa aingilie mchakato ndipo Jina la Magufuli likainuliwa juu na wajumbe wakalikubali japo kwa shingo upande !
Wajumbe walimtaka Lowassa !
Kikwete alimtaka Membe !
 
Na zaidi sana tunaweza kujitahidi kusifia sana na kuwaponda sana wapinzani na bado tukatupwa kwenye dustbin !
Chama kina wenyewe Wanasemaga !
 
Sawa kwani lazima Kila mtu awe Kiongozi? Kwani Dewji ana Mpango wa kuwa Kiongozi?

Wengine wacheze kwenye Uongozi wengine watatunza kibubu.
 
Umeelewa mkaba unaojadiliwa hapa ?
Unazungumzia uchaguzi wa mwaka 2015 mleta huu uzi unazungumzia maslahi ya watoto wa viongozi,huoni tofauti ?
 
Conspiracy theory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…