ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Wanasema tunaendesha karatasi. Hata kama kweli yanawahusu nini?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wajerumani wanaongeaga kwa nyodo sana na kututukanisha wajapani 😀
Wanasema tunaendesha karatasi. Hata kama kweli yanawahusu nini?
Hizo fenicha tu hata keko zipo.Hivi kuna karatasi iko hivi kweli?
View attachment 2493658
Nimeweka post #20040 icheki mkuu.Hiyo ni coolant temperature au outside temperature? Share picha ya hiyo sehemu inayoandikwa temp na gauge ya joto
Ni mimi kaka 🤣🤣🤣🤣nilikua natumia jina la Mnanso. Laptop yangu ilifanyiwa service nikakuta accounts zote zimejifuta kuingia mpaka password na nilishazoea kuingia direct. Nilipoweka password ikawa wrong so nikafungua hii account mpya though roho inauma sana kupoteza ile account. Mods kama mnaona comment yangu hii naombeni mniunganishe na account yangu ya zamani Mnanso. Asante kaka Rrondo kwa kujali😍😍😍Kuna mdada member wa hii thread jina limenitoka kapotea sana. Jina lake wengi walikuwa wanafikiri ni me. Recently alinunua IST sijui yuko wapi?
ISO M.CodD Saint Anne
Nawaachaga kila mtu ashinde mechi zake.Hivi kuna karatasi iko hivi kweli?
View attachment 2493658
Ni mimi kakaNdio aliyesema hatazidi 70kph?
Welcome back our MNANSONi mimi kaka 🤣🤣🤣🤣nilikua natumia jina la Mnanso. Laptop yangu ilifanyiwa service nikakuta accounts zote zimejifuta kuingia mpaka password na nilishazoea kuingia direct. Nilipoweka password ikawa wrong so nikafungua hii account mpya though roho inauma sana kupoteza ile account. Na ninajua ni shetani kaniblock bse mara ya mwisho nilimwomba PM mtu aliyetaka msaada wa tatizo lake la sexual immorality, ningempeleka kanisani kwetu hakika angepata breakthrough. Nimeshafanyiwa service ya laptop mara nyingi ila haijawahi kufuta accounts zangu zote had kwenye simu nimekuta zimefutika. Mods kama mnaona comment yangu hii naombeni mniunganishe na account yangu ya zamani Mnanso. Asante kaka Rrondo kwa kujali😍😍😍
Yes ni mimi, ile account ilileta shida password inagoma, mods waunganishe na hii, thanks dear
Nipo dailyAtatumiss atakuja. Huu uzi hata ukiusahau, siku ukiwa unapiga trip utaukumbuka
ThanksWelcome back our MNANSO
Hii ndio coolant temperature sahihi ambayo haitegemeani na joto la nje.@RRONDO ulimaanisha hivi? Kuna button fulani nimeibonyeza nikaona temp gauge inasoma hivyo View attachment 2493030
Nimeshakua mzoefu mkuuKawa kimya sana. Alikua anajifunza gari.
Yeah huwa napenda sana biege interiors. Gari hata ikiwa na plastics ila zikiwa biege kama Raum au Porte huwa zinaonekana gari kweli.Nawaachaga kila mtu ashinde mechi zake.
And honestly interior ya beige ndio inapendeza. Interior nyeusi hata uirembe vipi haing'ai. Nyie mnaonaje?
Umeeleweka sana mkali.[emoji120]Hii ndio coolant temperature sahihi ambayo haitegemeani na joto la nje.
Hiyo 19 uliyoiona itakuwa outside temperature.
Hata mimi nikiwa mikoa yenye baridi huko Njombe last week, outside temp ilishuka mpaka 11, nikawasha gari nikaendesha dakika 5 coolant temp ikapanda na ikabaki hapo hapo katikati.
Huyo amekuweka kiporo anaweza kuingiza hilo deni siku yoyote cha muhimu ni kukagua mara kwa mara kama umeandikiwa maana ikikaa wiki inaongezeka 7500Hivi ukipigwa deni inaanza kusoma lini kwenye system? jana nilioverspeed mitaa ya Bunju, traffic alichukua leseni yangu na pia akapiga picha mara mbili plate number pamoja na leseni. Cha ajabu nimeangalia katika system jana na leo nakuta SIDAIWI.
Mchina hamna kitu aise hata ikipigwa na hiace hio cabin hua inachomoka inaanguka mbali hapo kwanza kajitaidi cabin imebaki kwenye chassisCoaster iko wapi? Hadi truck ichakae hivyo sijui hio Coaster ina hali gani.
Karibu sana. Hujagusa hata 140 kweli? Be honestNi mimi kaka
Sema hawa jamaa hilo eneo wanabahati mbaya nalo mwaka jana gari yao imekula abiria karibia woteHiyo hapo ni zile hino za engine nyuma [emoji115]View attachment 2492426