Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

M naona kama ni kingo ya barabara
Ajali mbaya sana hii wale wanaomini Mungu ni vyema kumuomba Mungu atulinde na kutuepusha na hizi balaa za barabarani na kwingineko, hatari sana hii.

Fikiria hawa waliopata ajali aisee kifo ni fumbo gumu unaamka fresh baada ya muda taarifa mbaya zinakuja daah!! Unaweza ukawa makini na kuchukua tahadhari zote ukasababishiwa na driver mwingine.

Ni Mungu tu anaeweza kutunusuru.
 
Ni kweli kabisa..... tusiache kumtanguliza Mungu zen tahadhar ichukue nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…