Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Halafu hiyo ya 50 nahisi wataalamu wetu walikariri tu kuwa kwenye makazi ya watu.Hahahah saa9 sio usiku mzee. Hio asubuhi tayari, ilitakiwa uanze saa 5 night kuichakata lami hapo ndio ungeinjoy kupiga zile 140-200 bila kero. Sasa ikishafika saa 12 tu tayari wakuda wamejazana road unaanza kusumbuka na zile 50/50.
Hayo maeneo ni kuweka underground passage tu. Unatia fence kama ya kimara mwisho au buguruni kisha unawalazimisha kupita juu darajani. Kuweka 50 kwenye highway ni upuuzi ambao uko Africa tu.Halafu hiyo ya 50 nahisi wataalamu wetu walikariri tu kuwa kwenye makazi ya watu.
Sometime utakuta vijumba hata 30 havifiki lakini wanaweka 50.
Ningekuwa na uwezo, 50 ningeweka sehemu ambazo zina msongamano wa makazi tu.au kwenye vijiji ningeweka 50 sehemu za huduma za jamii ambazo zipo karibu na barabara mfano hispitali na shule au soko.
Hahahahahah wanahifadhia spana humo 😀😀😀iliwahi nikuta hii, nimetoka mtwara na Rx300(1mz engine) naenda tunduma, ile nakaribia pale mbalizi kuelekea ifisi nikasikia kishindo na chuma ikazima ghafla. kushuka oil ipo kwenye lami. akaitwa fundi pale kucheki aksema hii ngoma imepasua block. sasa solution ilikuwa ni kununua engine nyingine na sina hela, nikaona isiwe kesi nikaivutia gari kwa Aunt mitaa ya isyesye na kununulia turubai. ilikaa pale miezi 5 ndo nikapachika engine nyingine. ukipeleka gari garage ikae hata week 2 tu unaweza piga fundi maana itakuwa store yao.
Kautelekeza uzi
Nadhani speed 80 kwa mfano watu wa mabasi ni mwendo mzuri tu shida ipo kwenye matuta na vibao vyao vya 50.inawalazimu madriver kufuta kisahani kufidiaHayo maeneo ni kuweka underground passage tu. Unatia fence kama ya kimara mwisho au buguruni kisha unawalazimisha kupita juu darajani. Kuweka 50 kwenye highway ni upuuzi ambao uko Africa tu.
RRONDO mkuu… kimya sana ume missiwa sana huku… nipitie hapa tukamsalimie kigamboni
Nimetoka Dar magomeni mikumi (nyumbani) saa 03:50 Alfajir Kuelekea Dodoma , nimefika Dodoma Kisasa Saa 02:50 Asubihi.Huwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.
Nimepiga speed 140 muda speed 180 mara moja Moja , nimeanza kupunguza speed 120 mpaka 100 au 90 baada ya kufika MpandeHahahah saa9 sio usiku mzee. Hio asubuhi tayari, ilitakiwa uanze saa 5 night kuichakata lami hapo ndio ungeinjoy kupiga zile 140-200 bila kero. Sasa ikishafika saa 12 tu tayari wakuda wamejazana road unaanza kusumbuka na zile 50/50.
Umefika dom saa ngapi? 😀Nimepiga speed 140 muda speed 180 mara moja Moja , nimeanza kupunguza speed 120 mpaka 100 au 90 baada ya kufika Mpande
Okay nilikuwa sijaiona hii sema umetembea almost 6 hoursNimetoka Dar magomeni mikumi (nyumbani) saa 03:50 Alfajir Kuelekea Dodoma , nimefika Dodoma Kisasa Saa 02:50 Asubihi.
BMW X5 [emoji91][emoji91]
Kitu inamenywa kama TV yani 🤣 sio asante mjapani zetu tunaita mpya gari imejambiwa sana NAGOYA toka mwaka 2006.Brandest new[emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 2604897
Ila Usiku na ajali kubwa kubwa ni kitu kimojaHuwa napenda sana night trips ingawa usiku ni usiku tu but napendaga ule ukimya wa barabarani.kwa muda huo wajinga wengi wamelala wanabaki wenye uzoefu na barabara.
Sina gari,sijui kuendesha gari lakini kwa usiku kutumia 5HRS halafu gari ndogo mbona kama umetembea kizembe bro?Nimepiga speed 140 muda speed 180 mara moja Moja , nimeanza kupunguza speed 120 mpaka 100 au 90 baada ya kufika Mpande
Yes mkuu ila kuna sheria kuhusu freeways, pedestrians hawatakiwi, bodaboda na bajaji ni shida (T1 pale Mbeya ni craze,utafikiri kiwanda cha bajaji kipo pale)Halafu hiyo ya 50 nahisi wataalamu wetu walikariri tu kuwa kwenye makazi ya watu.
Sometime utakuta vijumba hata 30 havifiki lakini wanaweka 50.
Ningekuwa na uwezo, 50 ningeweka sehemu ambazo zina msongamano wa makazi tu.au kwenye vijiji ningeweka 50 sehemu za huduma za jamii ambazo zipo karibu na barabara mfano hispitali na shule au soko.
Unless dereva mjinga wa kuendesha mchana kaamua ku take chance!,usiku concentration ni kubwa na distraction ni zero (male drivers mnanielewa)Ila Usiku na ajali kubwa kubwa ni kitu kimoja
umesomeka vyema mkuu!Unless dereva mjinga wa kuendesha mchana kaamua ku take chance!,usiku concentration ni kubwa na distraction ni zero (male drivers mnanielewa)
Kuna msemo unasema "Usiku hata jongoo huwa anang'ata".Ila Usiku na ajali kubwa kubwa ni kitu kimoja
Kwa muda nilioanza safari ni uwo ila badaa ya kutoka magomeni nilivyofika kimara kibo niliingia masijd kupata Swala ya Alfajir baada ya hapo ndio nikaanza safari, kwahiyo nimeanzia kuhesabu ule muda nilioondokea nyumbani na sio nilioanza safari baada ya kumaliza kuswali.Okay nilikuwa sijaiona hii sema umetembea almost 6 hours