Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tunduru to mbeya now 1: 15 pm
20230506_125732.jpg
 
Yes mkuu ila kuna sheria kuhusu freeways, pedestrians hawatakiwi, bodaboda na bajaji ni shida (T1 pale Mbeya ni craze,utafikiri kiwanda cha bajaji kipo pale)
Aisee yaani ni kero hao wasimamizi wa usafirishaji na mipango miji mbeya ni wa hovyo sana,mbeya palikuwa na usafiri mzuri sana wa daladala hivyo vidude vitaharibu kabisa wanachojua ni kusajiri tu!
 
Sina gari,sijui kuendesha gari lakini kwa usiku kutumia 5HRS halafu gari ndogo mbona kama umetembea kizembe bro?
Kuna siku nilikula lift kwenye Toyota wish Moro to Dom jamaa alitumia 2 HRS.
Tulitoka moro saa nane usiku hadi saa kumi alfajiri tulikuwa Dom.
Pia pale ile Sehemu inaitwa Mbande(M bande) na sio mpande.😃😃😃
Alizembea huku juu tu toka Dar labda foleni, kipande ya moro-dom unateremka tu km kula ugali na mlenda
 
Jana nmepiga road trip dar to mbeya na mnyama crown athlete, itoshe kusema crown ni mnyama mkali. Kipande cha makambako mpaka wanging'ombe, ilembula hadi igawa check point nilikuwa nafuta kisahani every now and then. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kifanya hivyo.

Mambo yakikaa vizuri mbeleni nitatafuta sedan moja v6 ya kutambia barabarani na mimi. Kwa sasa nina kilitime hio naiendesha kifaza sana, haitaki mbwembwe.
1ZZ Kufuta kisahani ni ngumu. Inataka moyo mno mie huwa nahisi engine kama itaachana na gearbox
 
Gari ilikua ni crown athlete cc 2500.
Dar tulipiga full tank lita 70. Tukaamsha popo hadi moro mjini tukapoa F2 florida kama 1hr. Trip ikasoma 176km (from kimara baruti ndo niliset trip 0). Moro nikalamba vichwa viwili nikarudi tena sheli kurudishia full tank, zikaingia 15ltrs (average 11km per litre).

From moro nikaamsha popo tena hadi iringa mjini, tukazama sheli moja ipo kushoto mbele ya ipogolo. Tukapata kahawa na bites. Pale nikaongeza wese la 50k, almost 17ltrs.

From iringa nikaamsha popo hadi mbeya soweto, trip ikasoma 816km, na fuel gauge ikawa below half tank. So kwa makadirio tulitumia almost 75 ltrs.

Changamoto

-kukosa uzoefu wa safari za mara kwa mara, especially za usiku. Kuna wakati IT ana mazda verissa au toyota allion ila anakufua vizuri tu na crown yako sababu ya kutoijua vizuri barabara.
- changamoto ya pili, katika abiria wale wawili tuliopakia, mmojawapo alikua msumbufu sana. Tulisimama mara 3 njiani ili avute sigara kutoa alosto, pia alikua anataka nifukuzane na IT ili awahi anapoenda, next time sipakii abiria nimejifunza.

Tips

-Mchana nilipumzika vya kutosha, usiku sikuchoka sana. Pia kazi zangu ni za shift yani day and night so nina uzoefu mkubwa sana wa kukesha hivyo kutoboa usiku mzima ilikua rahisi.
-najitahidi kuwa active kwa kucheza na taa mara kwa mara, beam na full lights, linafanya macho yasipate fatigue hivyo unakua active.
-nilikunywa sana maji, nilifungua vioo full upepo ndani na miziki kama yote ili mradi niwe un comfortable nisilale.
Sema ulikamua sana 😀 trip za usiku raha sana
 
Ukoshabeba abiria jua hunanuhuru wa safari yako. Nimeshatoka moshi to dar na majesta nilikua na wife kwa huruma zake akampa mtu lift toka same alikua kalaza kiti kidogo ikabidi akisimaishe asogeze mbele tukitembea kidogo mtu anaanza kulalamika kiufupi alinikwaza kabla hata ya kufika mombo. Nikaungia hotel ya kilimanjaro tukala wakati wa kurudi kwenye gari hatumuoni mtu tukasubiri weee mwishoe nikawasha gar nikasepa hakuwa na mizigo ni pochi yake na alikua nayo. Nimetembea kama 1km naona pikipiki inakuja nyuma inaniwashia taa wife mwenyewe ndio anasema kanyaga mafuta staki usumbufu wa kijinga nilicheka sana yule boda aliishiankuwasha taa mimi nikanyoosha goti na sikurudia wala wife hakurudia kutoa lift au kubeba kama abiria mana uhuru wenu unakua hakuna tena
 
Mzee hukufanya fair,
Ilitakiwa usimame halafu umueleze ukweli ili ajue kosa lake wakati mwingine ajifunze.
Next time nipe lift mimi,sinaga usumbufu wala maneno mimi huwa nakaa kimya hadi niongeleshwe🤣🤣🤣na sinaga mambo ya kuchimba dawa hapa na pale.nikikaa nimekaa.
 
Ah muda mwingine maamuzi ya kiume ni muhimu. Kwanza niivyosepa wife akasema afadhali maana hatukua huru hata kupiga stor
 
Back
Top Bottom