Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Mzee wangu mlezi alikuwaga nalo miaka hiyo.Tutuo 01:18View attachment 2617253
Hadi leo wanamwita Tx
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wangu mlezi alikuwaga nalo miaka hiyo.Tutuo 01:18View attachment 2617253
Hiyo ya kwanza ndo ruti safi.Nina likizo mwezi wa 7 au wa 8 nataka road trip ya siku 5-6 (wiki moja).
Budget imenibana, Pamoja na mafuta (ukitoa service ya gari kabla sijatoka) iwe kati ya 750-900k hivi.
Sasa nina route mbili, moja ya kusini na kati na nyingine ya pwani na Arusha Arusha hivi.
Route ya kwanza:
View attachment 2610769
Hiyo Naanzia Dar to Kilwa Masoko. Nalala Usiku wa kwanza. Kesho yake natoka Kilwa naenda Lindi (Hapa Silali), kisha naenda NDANDA (Naweza kulala au kutolala).Siku ya tatu naenda SONGEA (Nalala) Kisha Makambako na Iringa silali naweza kulala Moro au nikavuka Dar. Jumla approximately kilometa 2000.
Route ya Pili.
View attachment 2610770
Hii ni nyepesi. Natoka Dar to Tanga. Nalala. Najua ni karibu ila nataka niende AMBONI CAVES na kama muda utaruhusu nitaenda MAGOROTO (bila gari nitaiacha Tanga).
Nikitoka Tanga nitaenda LUSHOTO hapo nitalala. Kesho yake mchana nitaenda MOSHI na ARUSHA. Kisha nitarudi Dodoma then Moro Dar.
Hii jumla kilometa 1700 hivi.
Sehemu nilizoweka herufi kubwa sujawahi kwenda au nilienda zamani sana zaidi ya 6 years+ kwahiyo nategemea kuzurura sana.
Vipi nime design vizuri according to my budget?
Nitajitahidi kulala sehemu affordable ili kuendana na budget, nitakua mwenyewe, nikifika mkoa usika muda mwingi nitakua nazurura bila gari ili nione mji na kusave wese pia.
Ushauri kwa wazoefu.
Mimi mwenyewe bado nasukuma hili, na bado lina nguvu kinomaMzee wangu mlezi alikuwaga nalo miaka hiyo.
Hadi leo wanamwita Tx
Lakini hilo mkuu kwa safari za ndani ya mkoa tu.Mimi mwenyewe bado nasukuma hili, na bado lina nguvu kinoma
Isuzu tx direct injection zilitamba sana kiasi kwamba scania 81 ilionekana kama imepata mshindani.Kaliua naitafuta Sikonge
Nipo na Isuzu injection chuma ya mkoloni
[emoji28][emoji28]View attachment 2617001
Nipo Sikonge Tabora, huku yapo mengi sana kama yalimwagwa huku[emoji23][emoji23][emoji23]Isuzu tx direct injection zilitamba sana kiasi kwamba scania 81 ilionekana kama imepata mshindani.
Nimeona na ikwiriri yapo na songea,mikoani yapo mengi kuliko Dar.Nipo Sikonge Tabora, huku yapo mengi sana kama yalimwagwa huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka wenyewe wanasahau kama wamepakia mtu[emoji16][emoji16]Mzee hukufanya fair,
Ilitakiwa usimame halafu umueleze ukweli ili ajue kosa lake wakati mwingine ajifunze.
Next time nipe lift mimi,sinaga usumbufu wala maneno mimi huwa nakaa kimya hadi niongeleshwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na sinaga mambo ya kuchimba dawa hapa na pale.nikikaa nimekaa.
Unamuita fundi alivute mpaka gereji kwake kisha madogo wa gereji wawe wanapumzikia kama hakuna kazi.
Mkuu wenyewe wanadai nchi imefunguka🤣 sasa hivi A town watu wanatembelea magari sio vyombo vya usafiri. Kwa mfano LC 300 series plate alphabet E zipo kama uchafu sa hvi Kila Kona lazma utapishana nayo tu wakati 2020 LC 200 series nyingi zilikua STL, DFP huko 🤣Wakuu hawa watoto wa arusha wanatoa wapi hela trackhawk na Nissan GT-R zipo A town[emoji119]View attachment 2622662
Hihi hihiiliwahi nikuta hii, nimetoka mtwara na Rx300(1mz engine) naenda tunduma, ile nakaribia pale mbalizi kuelekea ifisi nikasikia kishindo na chuma ikazima ghafla. kushuka oil ipo kwenye lami. akaitwa fundi pale kucheki aksema hii ngoma imepasua block. sasa solution ilikuwa ni kununua engine nyingine na sina hela, nikaona isiwe kesi nikaivutia gari kwa Aunt mitaa ya isyesye na kununulia turubai. ilikaa pale miezi 5 ndo nikapachika engine nyingine. ukipeleka gari garage ikae hata week 2 tu unaweza piga fundi maana itakuwa store yao.
Nchi imefunguka au upigaji wa wazi ndio umefunguka?Mkuu wenyewe wanadai nchi imefunguka🤣 sasa hivi A town watu wanatembelea magari sio vyombo vya usafiri. Kwa mfano LC 300 series plate alphabet E zipo kama uchafu sa hvi Kila Kona lazma utapishana nayo tu wakati 2020 LC 200 series nyingi zilikua STL, DFP huko 🤣
Tanzania kuendesha zaidi ya 120 ni kujitafutia majanga.. Hamna barabara inaruhusu hiyo speed TanzaniaJana nmepiga road trip dar to mbeya na mnyama crown athlete, itoshe kusema crown ni mnyama mkali. Kipande cha makambako mpaka wanging'ombe, ilembula hadi igawa check point nilikuwa nafuta kisahani every now and then. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kifanya hivyo.
Mambo yakikaa vizuri mbeleni nitatafuta sedan moja v6 ya kutambia barabarani na mimi. Kwa sasa nina kilitime hio naiendesha kifaza sana, haitaki mbwembwe.
Hizi zote nimepiga except sijaenda Lushoto.Nina likizo mwezi wa 7 au wa 8 nataka road trip ya siku 5-6 (wiki moja).