Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Halafu hiyo ya 50 nahisi wataalamu wetu walikariri tu kuwa kwenye makazi ya watu.Hahahah saa9 sio usiku mzee. Hio asubuhi tayari, ilitakiwa uanze saa 5 night kuichakata lami hapo ndio ungeinjoy kupiga zile 140-200 bila kero. Sasa ikishafika saa 12 tu tayari wakuda wamejazana road unaanza kusumbuka na zile 50/50.
Sometime utakuta vijumba hata 30 havifiki lakini wanaweka 50.
Ningekuwa na uwezo, 50 ningeweka sehemu ambazo zina msongamano wa makazi tu.au kwenye vijiji ningeweka 50 sehemu za huduma za jamii ambazo zipo karibu na barabara mfano hispitali na shule au soko.