Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yes mkuu ila kuna sheria kuhusu freeways, pedestrians hawatakiwi, bodaboda na bajaji ni shida (T1 pale Mbeya ni craze,utafikiri kiwanda cha bajaji kipo pale)
Aisee yaani ni kero hao wasimamizi wa usafirishaji na mipango miji mbeya ni wa hovyo sana,mbeya palikuwa na usafiri mzuri sana wa daladala hivyo vidude vitaharibu kabisa wanachojua ni kusajiri tu!
 
Alizembea huku juu tu toka Dar labda foleni, kipande ya moro-dom unateremka tu km kula ugali na mlenda
 
1ZZ Kufuta kisahani ni ngumu. Inataka moyo mno mie huwa nahisi engine kama itaachana na gearbox
 
Sema ulikamua sana 😀 trip za usiku raha sana
 
Ukoshabeba abiria jua hunanuhuru wa safari yako. Nimeshatoka moshi to dar na majesta nilikua na wife kwa huruma zake akampa mtu lift toka same alikua kalaza kiti kidogo ikabidi akisimaishe asogeze mbele tukitembea kidogo mtu anaanza kulalamika kiufupi alinikwaza kabla hata ya kufika mombo. Nikaungia hotel ya kilimanjaro tukala wakati wa kurudi kwenye gari hatumuoni mtu tukasubiri weee mwishoe nikawasha gar nikasepa hakuwa na mizigo ni pochi yake na alikua nayo. Nimetembea kama 1km naona pikipiki inakuja nyuma inaniwashia taa wife mwenyewe ndio anasema kanyaga mafuta staki usumbufu wa kijinga nilicheka sana yule boda aliishiankuwasha taa mimi nikanyoosha goti na sikurudia wala wife hakurudia kutoa lift au kubeba kama abiria mana uhuru wenu unakua hakuna tena
 
Mzee hukufanya fair,
Ilitakiwa usimame halafu umueleze ukweli ili ajue kosa lake wakati mwingine ajifunze.
Next time nipe lift mimi,sinaga usumbufu wala maneno mimi huwa nakaa kimya hadi niongeleshwe🤣🤣🤣na sinaga mambo ya kuchimba dawa hapa na pale.nikikaa nimekaa.
 
Ah muda mwingine maamuzi ya kiume ni muhimu. Kwanza niivyosepa wife akasema afadhali maana hatukua huru hata kupiga stor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…