Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hiyo ya kwanza ndo ruti safi.
 
Mpaka wenyewe wanasahau kama wamepakia mtu[emoji16][emoji16]
 
Wakuu hawa watoto wa arusha wanatoa wapi hela trackhawk na Nissan GT-R zipo A town[emoji119]View attachment 2622662
Mkuu wenyewe wanadai nchi imefunguka🤣 sasa hivi A town watu wanatembelea magari sio vyombo vya usafiri. Kwa mfano LC 300 series plate alphabet E zipo kama uchafu sa hvi Kila Kona lazma utapishana nayo tu wakati 2020 LC 200 series nyingi zilikua STL, DFP huko 🤣
 
Hihi hihi
 
Nchi imefunguka au upigaji wa wazi ndio umefunguka?
Ila haya maisha haya wakati wengine hata pikipiki changamoto mtu anabadilisha LC!
 
Tanzania kuendesha zaidi ya 120 ni kujitafutia majanga.. Hamna barabara inaruhusu hiyo speed Tanzania
 
Hizi zote nimepiga except sijaenda Lushoto.

Kwa kuzurura na sightseeing hiyo ya Tanga itakufaa zaidi.

Kwa kuenjoy utamu wa barabara hii ya Lindi itakupa raha ya kuendesha gari (baada ya kuvuka Kilwa).

Enjoy mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…