Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Moja ya gari zuri sana sema watu hawajaijulia. Nilikua nayo iyo chuma aisee.
 
Naombeni fundi humu wazee, au yeyote yule anaeza nisaidia hii issue hata kimawazo tu.

Nina toyota allion inakula sana mafuta yani 1L ni kama km 6 au 6 point kwa hapa town. Ni allion a15 nimepewa juzi na jamaa angu. Ila gari ina nguvu na inakimbia kweli. Sasa sijui shida ni nini hapo kwenye hiyo consumption.

Nilikuwa natumia TI ilikua inatumia mafuta kidogo sana.
 
JituMirabaMinne
 
Mkuu kwanza Pole, Consumption kama hiyo kwa gari ya Cc1490 siyo kawaida hata kidogo. Kama gari iko mjini Dar es alaam nicheck ninaweza kuwa na solution ya tatizo lako. 0688 758 625 au 0621 221 606.





Lakini Mkuu gari ikiwa na nguvu sana na inakimbia lazima ibugie mafuta, naona unapata experience ya Crown Majesta kwenye Allion😀😀😀
 
Check fire plugs, air filters, gear ratio. Hivyo vinaweza kuchangia unywaji wa mafuta sana
 

Kipande cha SHY to Misungwi/Mwanza kulikuwaga na mashimo mengi ya hatari sana barabarani. Vipi kwasasa barabara ipoje kwa kipande hicho?

-Kaveli-
 
Mie Brevis 1JZ-FSE inanipa km 3.2 kwa lita 1. Ila chanzo nilichokonoa nozzles. Sasa hapa nataka niweke engine nyingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…