Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Arusha-- mbeya,
One man show. Nilitoka arusha 0626, nikafika mbeya saa 5 usiku. Nilipumzika dom almost nusu saa na iringa almost lisaa 1.View attachment 2848907
Mkuu mm juzi nimetoka Mwanza Saa 12.30 asubuhi, nimefika dodoma saa 7.30 kamili mchna. nimekaa dodoma for 3hrs nimeondok saa 11 kasoro nikafika iringa saa 2 kasoro nikazuga zuga kama 15 minuts hivi kujaza mafuta na kupata soft drink niliondoka iringa saa 2 na madakika by saa 6 kasoro usiku nili ingia home..
 
Kudos mkuu, ulitembea vizuri sana na ulitunza muda.german machine[emoji123][emoji123]
 
Kwangu mi naona kuanzia 80 speed hadi 100 speed gari inakuwa kwenye final gear so RPM inakuwa at Rest kwenye around 1500-2100 rpm mpaka utakapoanza kuitafta 110 na zaidi na mshale wa RPM unainuka tena ambapo ukishagusa 2500 rpm na kuendelea unaanza kupigwa wese sasa 😂! Hapo gari unakuta iko 130-140 ukifika 160 chuma kina mzuguko wa 3000 ukimaliza 180 ndio dah unaongelea 3400 hadi 3600.
 
Brevis imefanya kazi kweli kweli (at 5K revs.)View attachment 2852086


Aiseeeh, kama ulikuwa unaenda hadi spidi 150, hilo basi lililokupita lilikiwa spidi ngapi....!!!!?

Sijui abiria wake walikuwa wamelala...!!???

Au ndo ile ukiwa ndani ya gari hauhisi mwendo mnaoenda.....!!!

Kikubwa mfike salama ila kwa huo mwendo, likitokea la hamadi, hakuna msalie mtume....!!

Well, ujana maji ya moto...

Uzee ni kujiandaa kurudisha chenchi...
 
Hii video nimeikuta mahali sikuwa mie.... Ila hizo Bus za safari njema zote zilikuwa za moto. Gari ndogo zenye kifua ndio zilikuwa zinaenda na hizo bus. Na hii ilikuwa muda kidogo.

Ni kweli hapo ikipasua tairi ya mbele hakuna maisha tena.
 
Video ya muda sana hiyo
 
Hizo rpm za 3000 sijawahi fika..but speed ya 140 -150 nmefika kwa rpm za kawaida sana not more than 2500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…