Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Arusha-- mbeya,
One man show. Nilitoka arusha 0626, nikafika mbeya saa 5 usiku. Nilipumzika dom almost nusu saa na iringa almost lisaa 1.
20231220_134159.jpg
 
Arusha-- mbeya,
One man show. Nilitoka arusha 0626, nikafika mbeya saa 5 usiku. Nilipumzika dom almost nusu saa na iringa almost lisaa 1.View attachment 2848907
Mkuu mm juzi nimetoka Mwanza Saa 12.30 asubuhi, nimefika dodoma saa 7.30 kamili mchna. nimekaa dodoma for 3hrs nimeondok saa 11 kasoro nikafika iringa saa 2 kasoro nikazuga zuga kama 15 minuts hivi kujaza mafuta na kupata soft drink niliondoka iringa saa 2 na madakika by saa 6 kasoro usiku nili ingia home..
1694481020.jpg
 
Mkuu mm juzi nimetoka Mwanza Saa 12.30 asubuhi, nimefika dodoma saa 7.30 kamili mchna. nimekaa dodoma for 3hrs nimeondok saa 11 kasoro nikafika iringa saa 2 kasoro nikazuga zuga kama 15 minuts hivi kujaza mafuta na kupata soft drink niliondoka iringa saa 2 na madakika by saa 6 kasoro usiku nili ingia home..View attachment 2849229
Kudos mkuu, ulitembea vizuri sana na ulitunza muda.german machine[emoji123][emoji123]
 
Gari ina msukumo ambao ni sahihi,msukumo unaotegemea ubadilishaji wa gear,msukumo ambao ni wa kasi sana na msukumo ambao ni mdogo lakini unaotegemea dereva auruhusu uwe wa kati au msukumo mkubwa zaidi una impact yake ktk ulaji wa mafuta

1. Speed 70 ktk mwendo mrefu unailazimisha gari kutumia gear kubwa muda mwingi,huku uzito wa gari ukilazimisha muendeshaji aendelee kubadilisha gear na kukanyaga mafuta, ukiilazimisha isiende ibaki hapo hapo gari inakua nzito pasi wewe kustuka hilo,na inasababisha ulaji wa mafuta uongezeke

2. Gari inayo fika speed 120 na kuendelea,msukumo wa accelerator ukiwa mkubwa (high speed) na mapigo yake kwenye nozel inatema mafuta kwa kasi na kusababisha ulaji mkubwa wa mafuta.

Kasi inayoweza kukuokolea mafuta ni 40speed - 55speed ktk mwendo wa safari za kawaida,na katika safari ndefu 90-100speed inakuokolea mafuta kwa sababu ina balance change gear na uzito wa body zima kwa ujumla,yaani inakaa kwenye uwiano sawa.
Kwangu mi naona kuanzia 80 speed hadi 100 speed gari inakuwa kwenye final gear so RPM inakuwa at Rest kwenye around 1500-2100 rpm mpaka utakapoanza kuitafta 110 na zaidi na mshale wa RPM unainuka tena ambapo ukishagusa 2500 rpm na kuendelea unaanza kupigwa wese sasa 😂! Hapo gari unakuta iko 130-140 ukifika 160 chuma kina mzuguko wa 3000 ukimaliza 180 ndio dah unaongelea 3400 hadi 3600.
 
Brevis imefanya kazi kweli kweli (at 5K revs.)View attachment 2852086

Aiseeeh, kama ulikuwa unaenda hadi spidi 150, hilo basi lililokupita lilikiwa spidi ngapi....!!!!?

Sijui abiria wake walikuwa wamelala...!!???

Au ndo ile ukiwa ndani ya gari hauhisi mwendo mnaoenda.....!!!

Kikubwa mfike salama ila kwa huo mwendo, likitokea la hamadi, hakuna msalie mtume....!!

Well, ujana maji ya moto...

Uzee ni kujiandaa kurudisha chenchi...
 
Hii video nimeikuta mahali sikuwa mie.... Ila hizo Bus za safari njema zote zilikuwa za moto. Gari ndogo zenye kifua ndio zilikuwa zinaenda na hizo bus. Na hii ilikuwa muda kidogo.

Ni kweli hapo ikipasua tairi ya mbele hakuna maisha tena.
 
Aiseeeh, kama ulikuwa unaenda hadi spidi 150, hilo basi lililokupita lilikiwa spidi ngapi....!!!!?

Sijui abiria wake walikuwa wamelala...!!???

Au ndo ile ukiwa ndani ya gari hauhisi mwendo mnaoenda.....!!!

Kikubwa mfike salama ila kwa huo mwendo, likitokea la hamadi, hakuna msalie mtume....!!

Well, ujana maji ya moto...

Uzee ni kujiandaa kurudisha chenchi...
Video ya muda sana hiyo
 
Kwangu mi naona kuanzia 80 speed hadi 100 speed gari inakuwa kwenye final gear so RPM inakuwa at Rest kwenye around 1500-2100 rpm mpaka utakapoanza kuitafta 110 na zaidi na mshale wa RPM unainuka tena ambapo ukishagusa 2500 rpm na kuendelea unaanza kupigwa wese sasa 😂! Hapo gari unakuta iko 130-140 ukifika 160 chuma kina mzuguko wa 3000 ukimaliza 180 ndio dah unaongelea 3400 hadi 3600.
Hizo rpm za 3000 sijawahi fika..but speed ya 140 -150 nmefika kwa rpm za kawaida sana not more than 2500
 
Back
Top Bottom