Anajitahidi kwa kiasi chake mkuu...Naona uko na mjerumani. Vipi anajitahidi?
Hivi ile JF road trip iliishia wapi? Kulijuwa na group kabisa
Kuna mtu nimemsahau ndio alikuwa kiongoziDuuh nimeisahau hii ilikiwa ya kuelekea Joberg au wapi?
Hilo group sikuwahi kuingia ama nimezeeka nshasahau pengine mie ndo nilikuwa mwenyekiti wa kamati au mweka hazina....🤪🤪😜😜😜.
Uzee tabuu.
Kuna mtu nimemsahau ndio alikuwa kiongozi
Hahaha, boxer siiamini sana ila Sinoray 180 inafika ila utachoka sanaOya wazee boxer 150 inaweza kwenda dar shinyanga bila matatizo yoyote?
Uzee unakunyemelea broMiaka hii nimekuwa mvivu kuendesha.
1. Njia mbovu na ndefu.Kuna magaidi?