Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi ile JF road trip iliishia wapi? Kulijuwa na group kabisa

Duuh nimeisahau hii ilikiwa ya kuelekea Joberg au wapi?
Hilo group sikuwahi kuingia ama nimezeeka nshasahau pengine mie ndo nilikuwa mwenyekiti wa kamati au mweka hazina....🤪🤪😜😜😜.

Uzee tabuu.
 
Duuh nimeisahau hii ilikiwa ya kuelekea Joberg au wapi?
Hilo group sikuwahi kuingia ama nimezeeka nshasahau pengine mie ndo nilikuwa mwenyekiti wa kamati au mweka hazina....🤪🤪😜😜😜.

Uzee tabuu.
Kuna mtu nimemsahau ndio alikuwa kiongozi
 
PXL_20241213_035240538~2.jpg
 
Nimepatwa na Goosebumps wakati naangalia Roadtrip ya huyu bibie akipita kitonga kwa kuangalia tu amenifanya kama sehemu ya abiria wake mziki mzuri unasikika na stori za hapa na pale best moment ever chuma ni Prado Tx
Screenshot_20241221-221918.png
 
Moshi to Dar leo njia nzuri ajali ziko mbili karibia same lori limepinduka kushoto trela imezidi barabarani, karibia mkata fuso limepinduka kushoto halijazuia barabara, sorry nilishindwa kupiga picha nilikuwa mwendo
 
Back
Top Bottom