Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kila siku najiuliza why do we get old?!
 
 
Mara moja moja unaweza kubeba na familia....ila ulivyoelezea ndio inavyokuwa kabisa!
 
Yaani, I want to stay where I am right now.

Siwezi acha mazoezi aiseeh na nina discipline ya mlo sana.

All in all Sir God is the judge at his right time.
Ha ha ha unahangaika kuzuia uzee! Utakuja tu, halafu kuna umri fulani mwaka tu unakuta mtu kazeeka kweli kweli
 
Nimekushindwa!

Looh Bataringaya, unaanzaje sasa kunishindwa kwa mfano....!!
Yaani umefeli kukimbia km 21....!???

kwahiyo ndo kusema hutokuja German air na misokoto yangu?
Hatutakuwa na car pace riding again to A Town..!??

Kama hivyo ndivyo deni la mabungo yangu na sanvita liko palepale ...🤨
 
Ha ha ha unahangaika kuzuia uzee! Utakuja tu, halafu kuna umri fulani mwaka tu unakuta mtu kazeeka kweli kweli

Yaani sijui kwanini....

Hii miili haina ushirikiano kabisa, ila dunia ina misukosuko mingi sana.

Tungeweza kuishi kwa asilimia 100 kama mtoto wa miaka 5 au 6 hakika tusingezeeka mapema.
 
Wekeza kwenye vitega uchumi wewe usije sumbua uzeeni, kama wewe ni mTanzania na mwana East Africa utakua na shida nyingi tu!! Shauli zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…