Kama tungekuwa na mipango miji mizuri, milimani ni sehemu nzuri sana kuishi.Hahaha inawezekana kweli mkuu
Lakini pia kuna watu wengine wanapenda tu kuishi milimani mtu anakwambia piga ua garagaza lazima aje kujenga milimani hata kama akuwe na maeneo mangapi huku chini tambarare ila lazima aje kuishi milimani
Kwa watanzania wengi ni kitendo cha aibu,ila kuna mataifa ya jirani suala la kuchafua hewa kwao haina tabu bila kujali yupo na nani na ni sehemu ganiAiseee kusafiri peke yako ni mzuka zaidi,kuna muda unataka kujamba unashindwa kisa una abiria ndani,au unajamba zako kimyakimya unashangaa tu kaharufu kameibuka tu mara uhangaike kushusha kioo,mara uwashe a/c na hapo ndio balaa zaidi.
Na usipojamba njia nzima utafika tumbo limejaa gas/mifuzi,au nasema uongo ndg zangu?
Situation kama hio hua mnai handle vipi mkiwa na abiria wakuu.
Ni imeharibika zaidi kutoka Migoli kuitafuta IsimaniMkuu hii barabara ya iringa dodoma iliniharibia tairi.
Labla kama wameitengeneza, maana ilikua ni mazoezi ya kukwepa mashimo
😃😃😃 ili vibe la hapa sio mchezo.wanaume watatu,wanawake watatu!
Ilo vibe lake ni la kukata na shoka..😃😃😃 ili vibe la hapa sio mchezo.
Safari za peke yako ngumu sana,anaziweza East WindKwa watanzania wengi ni kitendo cha aibu,ila kuna mataifa ya jirani suala la kuchafua hewa kwao haina tabu bila kujali yupo na nani na ni sehemu gani
Ila pia ni shida kwetu na inapunguza timing kwani itabidi uegeshe uende ukajiachie halafu uje kuendelea na safari
Btw huwa sipendi safari ya peke yangu
Safari inakuwa tamu kinyama.... Kuna moment moja imenijia kichwani nimeishia tu kusmile.Hapo SUV mbele couple moja,katikati couple moja na nyuma kabisa couple moja...
Sanaaa bablai, jifunze basi siku moja moja ujitoe huko kwenye kudrive masafa peke yako.Ilo vibe lake ni la kukata na shoka..
Kuna siku nilala pake dumila minalani hadi asubuhi alafu peke yangu, kila gari nilikuwa naipiga mkono nisogee dumila center kuchukua fundi wanapita sijui walikuwa wanaogopa.. usiku hiyo ilikuwa saa saba. Ndio hatari pekee amabyo naonga ukiwa peke yakoHata wawili mkuu....peke yako kama gendaheka noma
Hilo neno gendaheka ni kitambo sana sijalisikiaHata wawili mkuu....peke yako kama gendaheka noma
Dah! Hapana na mambo mengi sana natazama ambayo hayanipi nguvu ya kuwa ma zaidi ya mtu mmoja kwenye gari.. hata hajari nikiwa peke yangu nakufa peke yangu ila tukiwa kijiji kilio kinakuwa kikubwa zaidi😀😀😀Sanaaa bablai, jifunze basi siku moja moja ujitoe huko kwenye kudrive masafa peke yako.
Wa vituoni mkuu uwe makini, utakuja kubeba mtu mwenye issue haramu.. mteseke bureNgumu mno,mi huwa nachukua abiria hata wa kituoni tena hufurahia zaidi awe mwenyeji awe ananipa stori,mikasa na uzoefu wa sehemu tunazopita