Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahaha inawezekana kweli mkuu

Lakini pia kuna watu wengine wanapenda tu kuishi milimani mtu anakwambia piga ua garagaza lazima aje kujenga milimani hata kama akuwe na maeneo mangapi huku chini tambarare ila lazima aje kuishi milimani
Kama tungekuwa na mipango miji mizuri, milimani ni sehemu nzuri sana kuishi.
 
Aiseee kusafiri peke yako ni mzuka zaidi,kuna muda unataka kujamba unashindwa kisa una abiria ndani,au unajamba zako kimyakimya unashangaa tu kaharufu kameibuka tu mara uhangaike kushusha kioo,mara uwashe a/c na hapo ndio balaa zaidi.

Na usipojamba njia nzima utafika tumbo limejaa gas/mifuzi,au nasema uongo ndg zangu?

Situation kama hio hua mnai handle vipi mkiwa na abiria wakuu.
Kwa watanzania wengi ni kitendo cha aibu,ila kuna mataifa ya jirani suala la kuchafua hewa kwao haina tabu bila kujali yupo na nani na ni sehemu gani

Ila pia ni shida kwetu na inapunguza timing kwani itabidi uegeshe uende ukajiachie halafu uje kuendelea na safari

Btw huwa sipendi safari ya peke yangu
 
Safari za peke yako ngumu sana,anaziweza East Wind
 
Sanaaa bablai, jifunze basi siku moja moja ujitoe huko kwenye kudrive masafa peke yako.
Dah! Hapana na mambo mengi sana natazama ambayo hayanipi nguvu ya kuwa ma zaidi ya mtu mmoja kwenye gari.. hata hajari nikiwa peke yangu nakufa peke yangu ila tukiwa kijiji kilio kinakuwa kikubwa zaidi😀😀😀
 
Back
Top Bottom