Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Dah! Hapana na mambo mengi sana natazama ambayo hayanipi nguvu ya kuwa ma zaidi ya mtu mmoja kwenye gari.. hata hajari nikiwa peke yangu nakufa peke yangu ila tukiwa kijiji kilio kinakuwa kikubwa zaidi😀😀😀
Hapa hujajitetea vizuri, kama ni inshu ya ajali mbona kuna ajali zinatokea uko peke yako lakini unakuta ajali inasomba na kijiji cha karibu. Kwani hujui?

We sema tu hupendelei companies za watu, me sister angu Dar to Moro peke yake hawezi ataomba escort tu na wewe utakaye escort utarudi kwa bus.
 
Mwezi wa pili huu nataka nipige Dar to Arusha. Arusha to Singida. Singida to Mwanza.. nitajaribu kusafiri na mtu 😀😀.. nione kama nitaweza
 
Usiku wanaogopa. Kitakachokuokoa usiku ni watoto au wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…