Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Dah! Hapana na mambo mengi sana natazama ambayo hayanipi nguvu ya kuwa ma zaidi ya mtu mmoja kwenye gari.. hata hajari nikiwa peke yangu nakufa peke yangu ila tukiwa kijiji kilio kinakuwa kikubwa zaidi😀😀😀
Hapa hujajitetea vizuri, kama ni inshu ya ajali mbona kuna ajali zinatokea uko peke yako lakini unakuta ajali inasomba na kijiji cha karibu. Kwani hujui?

We sema tu hupendelei companies za watu, me sister angu Dar to Moro peke yake hawezi ataomba escort tu na wewe utakaye escort utarudi kwa bus.
 
Mwezi wa pili huu nataka nipige Dar to Arusha. Arusha to Singida. Singida to Mwanza.. nitajaribu kusafiri na mtu 😀😀.. nione kama nitaweza
 
Kuna siku nilala pake dumila minalani hadi asubuhi alafu peke yangu, kila gari nilikuwa naipiga mkono nisogee dumila center kuchukua fundi wanapita sijui walikuwa wanaogopa.. usiku hiyo ilikuwa saa saba. Ndio hatari pekee amabyo naonga ukiwa peke yako
Usiku wanaogopa. Kitakachokuokoa usiku ni watoto au wanawake.
 
Back
Top Bottom