Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Lazima ilijaa uchafu karibia kuziba

Gari nyingi ndogo full tank inatoboa Dar-Arusha. Kuepuka usumbufu unajaza tank tu
Mi huwa nabadili oil na filter na kuvua plugs...Last trip natoka Moshi niliweka NGK flani nilipiga full tank hadi nafika bongo nina wese half Tank. Likely kama zutu la elf 55 tu niko mjini with a 1.8L engine.
 
Puma sijawahi wapenda af mafuta yao naona kama machafu sijui au mazito sana. Gari inakuwa unhappy kabisa na naifeel. Guts zangu zinaniambiaga ile sio sheli salama kabisa. Niliwahi weka mara 2 tu kipindi flani kulikuwa na mgomo baridi baada ya Corona ku hit fuel prices. Sheli zote waligoma kuuza isipokuwa Puma tu.
 
Ukitaka ku save upotevu wa some gas wakati unaweka mafuta shell kama unaweza, refuel gari asubuhi au usiku wakati temperature ya environment ipo very low.
 
Nw days nadhan content ya mafuta yote nchini katika kila kituo inafanana manake sasa hivi wanatumia mfumo mmoja wa kuagiza mafuta nje wa Bulk procurement,for Total naona mafuta yakishafika wao wanaadd excellium kama wanavyojinasibu.
 
Watashuka tu mpaka 10M siku sio nyingi 😂😂😂 chuma iko juani tu hamna mnunuzi.
Unafanya mchezo na 4300cc za Petroli nn😂
😁 😁 😁 At least ingekuwa diesel alafu manual. Kwenye hii awamu hata gari za 2500cc+ safari ya kuzimaintain mpaka mpaka 2025 itakuwa haina tofauti na kwenda Kalvari au Golgota.
 
Watashuka tu mpaka 10M siku sio nyingi 😂😂😂 chuma iko juani tu hamna mnunuzi.
Unafanya mchezo na 4300cc za Petroli nn😂
Ngoja niiende kwa mganga, abane hivyo hivyo hadi ishueke ifikie 6 million.. maana nao jamaa wale wajinga sana , ukiepeleka gari yako wanaanziaga 5 million hata kama gari ina vakue ya 15 million na huwa kama wanaitia mikosi yani, huto iuza sehemu ingine hadi uirudishe pale 😀😀😀.. na mie naenda kuwachomea .. 😃😃😃.. iwe ngoma draw.. bado nauchungu niliuza gari yangu 7 million.. na huku nilitakiwa niuze million 18 au 17.. ila sijui waliitia nuksi gani, alafu madalali wote wakaijua.. ikawa kama tangazo
 
East umenichekesha sana-Na hizi mambo za gundu hata wenyewe kwa wenyewe wakikaaga utasikia wanaongea "Na tuone sana kama atauza" 😁 😁 😁 sikuelewa the reason behind it
 
East umenichekesha sana-Na hizi mambo za gundu hata wenyewe kwa wenyewe wakikaaga utasikia wanaongea "Na tuone sana kama atauza" 😁 😁 😁 sikuelewa the reason behind it
Jamaa ndio mchezo wao pale, ujichanganye upeleke gari yako.. utalia chozi la kiutu uzima.. utauza gari huku unaumia.. bei zao kununua ndio hizo milion tano, nne, sita 😀😀😀😀
 
Eeh baba yenyewe kabisa. Chuma 4300cc kifuani!
Kazi kwenu! Tatizo ubaoni zina 180kph dakika mbili tu umemaliza 180kph engine inakata! It's boring....nataka kitu uko 200kph engine bado inadai Kona hii hapa unarudi 100kph unaanza tena ikifika 190kph vibao vya 50kph vinaamza unarudi tena! Yaani unapata changamoto kuifikia speed fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…