Duh 18m mpaka 7m pole sanaNgoja niiende kwa mganga, abane hivyo hivyo hadi ishueke ifikie 6 million.. maana nao jamaa wale wajinga sana , ukiepeleka gari yako wanaanziaga 5 million hata kama gari ina vakue ya 15 million na huwa kama wanaitia mikosi yani, huto iuza sehemu ingine hadi uirudishe pale πππ.. na mie naenda kuwachomea .. πππ.. iwe ngoma draw.. bado nauchungu niliuza gari yangu 7 million.. na huku nilitakiwa niuze million 18 au 17.. ila sijui waliitia nuksi gani, alafu madalali wote wakaijua.. ikawa kama tangazo
Very best way, pia mafuta yanaingia mengiUkitaka ku save upotevu wa some gas wakati unaweka mafuta shell kama unaweza, refuel gari asubuhi au usiku wakati temperature ya environment ipo very low.
Sina hamu na ya majaaa ya pale.. na sina hamu na madalali wa magari, iwe kuuza au kununuaDuh 18m mpaka 7m pole sana
Voltz, Premio, Opa, Rav 4 kili time n.kSema we jamaa hiyo hiyo seriea unaipenda sana... Ipo kwenye gar gani mkuu
Namaanisha chuma yakoVoltz, Premio, Opa, Rav 4 kili time n.k
Mwendo wa kuviziana tu.Fisi anafuata mikono idondoke
Ni Opa gangnam style mzee πππNamaanisha chuma yako
Na kweli 180 ni dk tu ipo full. Unaazna tafuta za ziada hazipo ππππ.. na gari unaiuta imetulia bado inadaiKazi kwenu! Tatizo ubaoni zina 180kph dakika mbili tu umemaliza 180kph engine inakata! It's boring....nataka kitu uko 200kph engine bado inadai Kona hii hapa unarudi 100kph unaanza tena ikifika 190kph vibao vya 50kph vinaamza unarudi tena! Yaani unapata changamoto kuifikia speed fulani.
Niliwahi kugongwa pale kwenye mataa ya St. Peter's, nikapigwa fine kwasababu nasababisha foleni.Shida ndio iko hapa. Hata kama una haki, procedure za kuipata hio haki zinakatisha tamaa. Mfano umekamatwa kwamba hujalipa deni la faini limefika 60,000/- na ni kweli walikosea wakaweka namba ya gari yako kimakosa. Mpaka ijulikane ni kweli utakuwa umepoteza muda(pesa) mwingi sana.
Hivi najiuliza hamnaga namna ya ku calibrate speed na kufunga console mpya yenye gauges ya zaidi ya 180 kph! Maybe kufunga ile inayofika hata 300KPH?Kazi kwenu! Tatizo ubaoni zina 180kph dakika mbili tu umemaliza 180kph engine inakata! It's boring....nataka kitu uko 200kph engine bado inadai Kona hii hapa unarudi 100kph unaanza tena ikifika 190kph vibao vya 50kph vinaamza unarudi tena! Yaani unapata changamoto kuifikia speed fulani.
Na kweli, engine yenye 8 cylinder na C.c 4300 kuwa na 180 ni makosa sana basi tu wajapana wanatunyanyapaaKazi kwenu! Tatizo ubaoni zina 180kph dakika mbili tu umemaliza 180kph engine inakata! It's boring....nataka kitu uko 200kph engine bado inadai Kona hii hapa unarudi 100kph unaanza tena ikifika 190kph vibao vya 50kph vinaamza unarudi tena! Yaani unapata changamoto kuifikia speed fulani.
Mtu akianzisha haka ka mchezo ka ku calibrate speed ya gari hasa za kijapani na kufunga Panels zenye speedometer kubwa hata walau za 300kph atatisha sana. Hela lazma zitamfuata kwa wingi.Na kweli 180 hamsini ni dk tu ipo full. Unaazna tafuta za ziada hazipo ππππ.. na gari unaiuta imetulia bado inadai
Gari inaweza loose stability.Hivi najiuliza hamnaga namna ya ku calibrate speed na kufunga console mpya yenye gauges ya zaidi ya 180 kph! Maybe kufunga ile inayofika hata 300KPH?
It sucks kwa kweli gari ina mashine kubwa ila iko limited to 180KPH yan kiasi kwamba usiku mkali tokea round about ya Mlimani unajikuta umeshafuta 180kph kabla hata ya flyovers za Ubungo. Kile kipande huwa najiachiaga sana.
Nikiwaga bored.. naenda hadi riverside nageuza.. napita juu kule kwenye flyover na 180 nakujaga ipunguza karibia na TCRA ππππHivi najiuliza hamnaga namna ya ku calibrate speed na kufunga console mpya yenye gauges ya zaidi ya 180 kph! Maybe kufunga ile inayofika hata 300KPH?
It sucks kwa kweli gari ina mashine kubwa ila iko limited to 180KPH yan kiasi kwamba usiku mkali tokea round about ya Mlimani unajikuta umeshafuta 180kph kabla hata ya flyovers za Ubungo. Kile kipande huwa najiachiaga sana.
Stability inapotea kwa ku tweak suspension parts sio horsepower na torque. Kama ni hivyo zile subaru zenye turbo zingekuwa zinaanguka maana sti zina kibati cha mpaka 280kph na haziyumbi.Gari inaweza loose stability.
Nahisi inaweza leta shida. Na inatokana na body design na safety feature sio za 300kph.. japo engine inaweza sukuma huko..Mtu akianzisha haka ka mchezo ka ku calibrate speed ya gari hasa za kijapani na kufunga Panels zenye speedometer kubwa hata walau za 300kph atatisha sana. Hela lazma zitamfuata kwa wingi.
Niliikuta imejaa tope,nikaambiwa sababu ya kutumia mafuta mpk tank linaisha ambako chini kunakuwa na uchafu..au kuweka mafuta kidogo wakati tank lina mafuta kidogo Sana.So yanaenda tibua tu..Fuel filter ilifanyaje mkuu?
Kile kipande ndio huwaga najidaigiπππ nikiwa mjini! Kuna kile cha Mfugale mpaka Vetah nacho kitamu sana πNikiwaga bored.. naenda hadi riverside nageuza.. napita juu kule kwenye flyover na 180 nakujaga ipunguza karibia na TCRA ππππ