Gari yangu nikiweka full tank pale Total Mcity, taa ya mafuta inaniwakia Sanawari kabla sijafika Mianzini.Lazima ilijaa uchafu karibia kuziba
Gari nyingi ndogo full tank inatoboa Dar-Arusha. Kuepuka usumbufu unajaza tank tu
Nilishawahi drive Carina Ti 1500cc to 140km/hr gari ikawa inaanza kukosa stability,Swali nililojiuliza ni Je,itakuwaje kwa mtu anayeendesha Carina Ti 2200cc ambayo i think ni Turbo charged akaenda 180km/hr sijawah pata majibu.Stability inapotea kwa ku tweak suspension parts sio horsepower na torque. Kama ni hivyo zile subaru zenye turbo zingekuwa zinaanguka maana sti zina kibati cha mpaka 280kph na haziyumbi.
Sema mi nilishusha tank likasafishwa about 3 weeks ago. Halikuwa na residue zozote. Ila sasa imezalisha tatizo jengine baya kweli. Gauge yangu inanipa false readings. Sijui hata ishu ni nini tena maana pump iko sawa ila toka iliporudishiwa wakati wanafunga tank ikawa inasoma empty kabisa hata baada ya kuweka full tank.Niliikuta imejaa tope,nikaambiwa sababu ya kutumia mafuta mpk tank linaisha ambako chini kunakuwa na uchafu..au kuweka mafuta kidogo wakati tank lina mafuta kidogo Sana.So yanaenda tibua tu..
Usiku siwezi kukimbiza sana.Usiku raha ila hatari.
Hizi kampuni kubwa zina ofisi kabisa.Puma nina bad experience nao sana.Nishakutana na incidence za kutaka kuibiwa mafuta vituoni mwao na other issues na zikawa resolved peaceful either at the station level or HQ.Total at least naona wanajielewa sana na sijawah kukutana na major incidence kwao.
Gari zetu wengi hatuzingatii wheel allignment and balancing. Ndio maana unakuta zinakuwa unstable na pia kuweka ma spacer kunaharibu sana stabiliy.Nilishawahi drive Carina Ti 1500cc to 140km/hr gari ikawa inaanza kukosa stability,Swali nililojiuliza ni Je,itakuwaje kwa mtu anayeendesha Carina Ti 2200cc ambayo i think ni Turbo charged akaenda 180km/hr sijawah pata majibu.
Mi nina 2.5L engine.Total kwangu ni best. Ila mafuta yake yanaungua kwa wepesi sana. Sio rafiki kwa Safari. Labda town trips tu.
Ndio maana napendelea Lake oil nikisafiri. Nimetoboa Dar-Mbeya na wese la 130K tu..with a 1.8L engine.
Content ya mafuta kwa kiasi kikubwa ni ile ile tu-Uchawi ni mguu wako tu ndugu yangu.Mi nina 2.5L engine.
Dar - Arusha tu taa inaniwakia sijafika mianzini.
Total wana mafuta mazuri sana.
Samahani,ufafanuzi unahitajika, hiyo 'jesta'ndo crown majesta au ni ipi?Jesta?!
Yes.Samahani,ufafanuzi unahitajika, hiyo 'jesta'ndo crown majesta au ni ipi?
😃😃😃 noma sana, issue za vidumuSema mi nilishusha tank likasafishwa about 3 weeks ago. Halikuwa na residue zozote. Ila sasa imezalisha tatizo jengine baya kweli. Gauge yangu inanipa false readings. Sijui hata ishu ni nini tena maana pump iko sawa ila toka iliporudishiwa wakati wanafunga tank ikawa inasoma empty kabisa hata baada ya kuweka full tank.
Nikaenda kwa fundi kufungua tena pump na kuigeuza pengine ilifungwa upande sio ikawa inasoma ila ilikuja kuniadhiri Jangwani pale sitasahau tena nikiwa na bibie. Ikabidi nitie triangle nipande fire na kidumu. Sasa sielewi sijui tatizo litakuwa nini kupelekea wrong readings
Baba gauge ilinivua udindo! Kitu kinasoma jiwe moja halafu gari inazima? Kabla hata taa ya reserve haijawaka.😃😃😃 noma sana, issue za vidumu
Hahahah RPM unazingatiaga lakini au unabonyeza tu chuma itembee 😂😂😂Mi nina 2.5L engine.
Dar - Arusha tu taa inaniwakia sijafika mianzini.
Total wana mafuta mazuri sana.
Bahati nzuri ulikuwa karibu na kituo cha mafutaBaba gauge ilinivua udindo! Kitu kinasoma jiwe moja halafu gari inazima? Kabla hata taa ya reserve haijawaka.
Hahahah acha tu, yani ningekuwa ndio mbali na kitu sijui ingekuwaje!Bahati nzuri ulikuwa karibu na kituo cha mafuta
Hiyo inaitwa time me before i time you 😁 😁 😁 .Baba gauge ilinivua udindo! Kitu kinasoma jiwe moja halafu gari inazima? Kabla hata taa ya reserve haijawaka.
Na bora ilikuwa upo na bei wako.. angekuwa ni kiraka ohooooo noma sanaaaHahahah acha tu, yani ningekuwa ndio mbali na kitu sijui ingekuwaje!
Hatari sana! magari yanaficha mengi sana,unakuta umepewa lift sasa dereva anashika brake ya ghafla kukwepa tuta-huo mlio wa madumu unaotokea huko nyuma acha tu 😁😁😁Hahahah acha tu, yani ningekuwa ndio mbali na kitu sijui ingekuwaje!
Wale wanaofanya engine calibrate na tunings sio kwamba wanaongeza hizo kph ?Hivi najiuliza hamnaga namna ya ku calibrate speed na kufunga console mpya yenye gauges ya zaidi ya 180 kph! Maybe kufunga ile inayofika hata 300KPH?
It sucks kwa kweli gari ina mashine kubwa ila iko limited to 180KPH yan kiasi kwamba usiku mkali tokea round about ya Mlimani unajikuta umeshafuta 180kph kabla hata ya flyovers za Ubungo. Kile kipande huwa najiachiaga sana.