Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Gari yangu nikiweka full tank pale Total Mcity, taa ya mafuta inaniwakia Sanawari kabla sijafika Mianzini.Lazima ilijaa uchafu karibia kuziba
Gari nyingi ndogo full tank inatoboa Dar-Arusha. Kuepuka usumbufu unajaza tank tu
Ila mara nyingi napenda nikifika Korogwe na Moshi najazia just in case arusha kukakosa mafuta.
Kuna siku tulifika Moshi mjini tukakosa mafuta mji mzima.