Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Yaani weeweee....😅Sijaijua ila sio Crown wala Mark X
Ukija ukuje na mabungo yangu manne yote yawe na pilipili na yawe matamu.
Yakiwa machachu unarudi nayo.
Na ukizidi kuchelewesha deni linazidi kuwa kubwa.
Baba Taibali bana looh...😂.