Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah Evo hadi wajapan wamezipiga ban maana zimezidi kiwango cha fujo 😂😂😂! Hawataendelea kuzizalisha tena.Na mpaka leo hajaipatia dawa ile Evo na kabla hajapumua kuna mwamba mwingine toka Mwanza nae kaingiza Evo matata kuliko ile ya kwanza,ni mapenzi na ujana kwa sheria hizi JMT na aina ya barabara zetu sioni sehemu ya kumwaga moto kuzidi 240kph