Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kuna wakati natamani kuanzisha project yangu ila sidhani kama ntaifurahia sana hiyo gari.Yule mhuni wa Arusha Speedometer yake ya Aristo ni 180km/h ila ikipigwa speedgun top speed inasoma 300km/h.
Mambo ya modes hayo.
Kufika top speed ya 300km/h sio mchezo kabisa kabisa,hata hizi Germany machines nyingi zina speedometer ya 260km/-300km/h lkn unakuta top speed yake ya ukweli ni 240-250km/h hapo ndo mwisho.