Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Itakua uoga wako tu mkuu...m naendeshaga bits rs 180kph inakua kawaida tu mkuu
Issue siyo kufika 180km/hr, issue ni unafika 180km/hr at what level of risk and comfortability? Binafsi hyo risk ya gari kukosa stability i did observed my self na nika slow down.Carina na ukubwa wote ule wa body ina weight ya 1130kg ambao ni mdogo kulinganisha na let's say Volks Golf pamoja na udogo wake ina 1500kg+ & still barabarani mkapata the same level of stability and comfortability.It's very hard kupata the same level of stability na Brevis yenye 1500kg+ at 180km/hr.
 
Nadhani hiyo haikufanyiwa wheel balancing na alignment ndo mana haikua stable lakin unafika fresh tu na inakua stable
 
Hahahah madumu madumu jau! Ila yanaokoa sana. Imagine siku ile ningekuwa sina dumu
Dumu moja ni poa๐Ÿ˜๐Ÿ˜,but ishu inakuja madumu mengi kwenye gari ya cc chini ya 1500,Sasa ikiwa Majesta si ataweka KORIE mkuu ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ,Mbongo anaweka madumu mpaka unaweza hisi yupo kwenye road trip anaelekea Misri ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.
 
Issue siyo kufika 180km/hr, issue ni unafika 180km/hr at what level of risk and comfortability? Binafsi hyo risk ya gari kukosa stability i did observed my self na nika slow down.Carina na ukubwa wote ule wa body ina weight ya 1130kg ambao ni mdogo kulinganisha na let's say Volks Golf pamoja na udogo wake ina 1500kg+ & still barabarani mkapata the same level of stability and comfortability.It's very hard kupata the same level of stability na Brevis yenye 1500kg+ at 180km/hr.
Brevis natembeaga na hio 180km/h na bado inakua gari inadai balaa,ni vile tu natural aspirated engines haina modes za maana ila ingekua ni turbo hakika ningeifanyia modes kadhaa nikate kiu
 
Dumu moja ni poa๐Ÿ˜๐Ÿ˜,but ishu inakuja madumu mengi kwenye gari ya cc chini ya 1500,Sasa ikiwa Majesta si ataweka KORIE mkuu ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ,Mbongo anaweka madumu mpaka unaweza hisi yupo kwenye road trip anaelekea Misri ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.
Hahahah noma.
 
Brevis engine yake ni inline 6! 1JZ Inaruhusu kufanya ma modes kibao tu sema uwe na hela tu. Ila kwa mwendo Brevis inanoga jamani, inachanganya effortlessly!
Shida ni hapo sheli lazma upewe membership card๐Ÿ˜‚
 
Dumu moja ni poa๐Ÿ˜๐Ÿ˜,but ishu inakuja madumu mengi kwenye gari ya cc chini ya 1500,Sasa ikiwa Majesta si ataweka KORIE mkuu ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ,Mbongo anaweka madumu mpaka unaweza hisi yupo kwenye road trip anaelekea Misri ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.
Daah enzi zangu nilikuaga na gari inachemsha kishenzi,nilikua natembea na dumu za maji ya k'manjaro kama 15(nimezijaza maji ya bomba) kule kwny buti aisee.
 
Back
Top Bottom