Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?


Mkuu ule kuifuata huwezi, ilivyonipita ni kama kitendo cha kufumba na kufumbua. Few second ikawa imepotea machoni, kilichonikonga ni ile sound aiseee.

Itoshe kusema tutafute PESA.
 
Wahindi wakinunua utaambiwa wafanyabiashara.

Mtanzania ukinunua unaambiwa fisadi au muhujumu uchumi.

Kuna gari nataka kununua mbeleni, najua tu likitua bongo ntaitwa nikajieleze TRA hela natoa wapi.

Wahindi nawaonea wivu sana. Wanakula maisha bila kuhojiwa. Ule wewe mbongo, utaulizwa hela umetoa wapi ya kuishi kufuru hiyo.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Landcruiser kwenye suala la speed hagusi pua kwa wajerumani.

Sema tu wabongo wamekariri ila kiuhalisia hizi gari za toyota bhana sizikubali kabisa.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
🤣 🤣 🤣 Kuna gari mkuu mtu mwenye mshahara pekee hawezi endesha ni either awe mfanyabiashara wa kueleweka,mwizi,ametoka kwenye rich family au amepewa zawadi tofauti na hapo 🙌🙌,ingawa TRA nao ni janga lingine 🤣
 
Lakini kiukweli Wahindi wanaomiliki magari haya wengi ni mabilionea. Na unakuta makampuni ndio yamenunua haya magari kwahio hata ukimuuliza unaambiwa gari hii ni ya Jandu enterprises na ukicheki hesabu za hio kampuni mwenyewe unatulia. Kama hesabu zako ziko vizuri unanunua tu majibu si utakuwa nayo.
 
Diamond mwenyewe anakwambia ana struggle for years kununua Rolls Royce na anategemea kupewa sponsorship na management,It's not a joke,Thaman ya gari unakuta ni mtaji wa kiwanda tosha.
 
Kwamba Crown haipitwi au?
Watu wanaziogopa crown.. kama gari za zinazokimbia sanaa.. ila nishaona za kawaida sanaaa.. binafsi nimetumia hiyo gari hakuna kitu.. ila kukimbia inakimbia ila sio kama watu wanavyo ipa daraka la juu kiivyo.. maybe hiyo majesta V8 ila hizi Athlete bado sana kuziweka daraja moja na jerumani machine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…