Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Gari gani
 
Kweli. Ila hapo kwangu mimi labda hiyo G class na Aston Martin ndiyo inanitoa roho. Kuna magoma aisee ni balaa. Ushawahi kusikia goma linaitwa Jeep Trackhawk?
Nilikuwa naingalia hapa.. ni chuma haswaa cha kibabe. Aston Martin huwa ni gari zenye hadhi yake. Japo gari ambayo huwa inanitoa roho sana huwa ni Ferrari F12berlinetta
 
😀😀😀😀.. wanadhibiti pesa chafu... ni rahisi unanyoosha maelezo ulipozitoa..
Shida ni moja tu umenunua gari ya 200m umezipata kwenye biashara au shughuli gani? Ukiwatajia hio biashara/shughuli wanaangalia umelipa kodi kiasi gani so far! Hapo ndio unakutwa umelipa PAYE tu ambayo inakatwa direct utajua hujui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…