Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wahindi wakinunua utaambiwa wafanyabiashara.

Mtanzania ukinunua unaambiwa fisadi au muhujumu uchumi.

Kuna gari nataka kununua mbeleni, najua tu likitua bongo ntaitwa nikajieleze TRA hela natoa wapi.

Wahindi nawaonea wivu sana. Wanakula maisha bila kuhojiwa. Ule wewe mbongo, utaulizwa hela umetoa wapi ya kuishi kufuru hiyo.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Gari gani
 
Kweli. Ila hapo kwangu mimi labda hiyo G class na Aston Martin ndiyo inanitoa roho. Kuna magoma aisee ni balaa. Ushawahi kusikia goma linaitwa Jeep Trackhawk?
Nilikuwa naingalia hapa.. ni chuma haswaa cha kibabe. Aston Martin huwa ni gari zenye hadhi yake. Japo gari ambayo huwa inanitoa roho sana huwa ni Ferrari F12berlinetta
 
😀😀😀😀.. wanadhibiti pesa chafu... ni rahisi unanyoosha maelezo ulipozitoa..
Shida ni moja tu umenunua gari ya 200m umezipata kwenye biashara au shughuli gani? Ukiwatajia hio biashara/shughuli wanaangalia umelipa kodi kiasi gani so far! Hapo ndio unakutwa umelipa PAYE tu ambayo inakatwa direct utajua hujui!
 
Back
Top Bottom